Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kiukweli Rais Samia Suluhu amefanikiwa kuifungua nchi sasa Tanzania kuna amani ya kutosha ukilinganisha na miaka 5 iliyopita polisi alikuwa hawezi kusogeleana na vyama vya upinzani lakini sasa amani imetawala polisi ni rafiki wa vyama vyote pia anafanya kazi yake ya kulinda raia na mali zao kiukweli kwa hili Mama ameupiga mwingi.
Nikikumbuka zamani tungelikua na kesi zaidi ya 5 kuhusu watu wasiojulikana au mabomu ya machozi, risasi nk; lakini toka mikutano ianze siasa imekua ya amani na adabu ya kutosha hawatumii tena maneno yasiyofaa majukwaani Rais Samia Suluhu ameifungua Tanzania kisiasa sasa wanasiasa wanafanya siasa safi.