Tanzania imefuzu AFCON kwa sababu Uganda hawakuwa na presha ya kufuzu

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Uganda,tayari walishafuzu so imefanyika plan ili Tz waende kutoa gundu ila naamini Uganda wangekuwa na point 5 ,Tz tusingevuzu.

Vijana msidanganyike Uganda wamecheza chini ya kiwangu coz hawakuwa na cha kupoteza.
Wangefungwa wangeenda na wangeshinda wangeenda.

Katika kundi lao hakuna timu ambayo ingeweza kufikia point 13.
Ukitaka kujua kuna mipango subiri mashindano yaanze utaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijalishi. Tz imefuzu.
 

hii mechi ya leo ingekuwa ya kutimiza ratiba tu kama tungemfunga lesotho, tatizo AMUNIKE na watu wake wa kubeti wanapanga beki tupu mechi ambayo tunahitaji ushindi, tena anajibu kabisa mimi naangalia nidhamu ushindi baadae huyu kocha wa kufukuza
 
Yule dogo form 4 lazima atage
BAADA YA MATOKEO
Yule dogo aliiba pepa, huko advance anakoenda mtaniambia
BAADA YA MATOKEO
Yule dogo kapita kimungumungu tu, pepa yao haikukazwa, chuo lazima adisco
BAADA YA MATOKEO
Yule dogo kahonga sana malectures mpaka katoboa, hana kitu kichwani yule, namjua mimi

Ngoma inakuwa ngumu zaidi pale anaeyasema hayo ni mtu wako wa karibu sana.
Ziba masikio, songa mbele.
Mwishowe utawasikia, mi nilijua tu, jamaa mkali sana. Yani dah, mi nilijua aisee. Hongera sana.
 
Amunike alizingua mechi ya Lesotho kwao nasi tungevuka mapema bila presha hao Uganda mnaowasifia sio wazuri kivile ni wa kawaida hata mechi ya Uganda sisi ndio tulikosa magoli ya wazi...
 
Uwe mzalendo kwa taifa lako. Hata kama si nchi.. basi kwa timi yako ya taifa..
Cha muhimu ilikuwa ni kufuzu.. masuala ya waganda hiv waganda vile.. hayatuhusu.
Lengo ilikuwa na kufuzu na tumefanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…