Tanzania imefuzu AFCON kwa sababu Uganda hawakuwa na presha ya kufuzu

Ukijua ranking zinapatikana vipi hutasema on paper. Lolote kutokea kwenye mechi haliondoi ukweli kuwa timu fulani ni bora kuliko timu fulani.
Kama nawaona vile mnavyo elekea kwenye mjadala kama wa 'underdog team'.

Ukweli ni kwamba Uganda wapo juu sana kisoka kuliko Tanzania. Lakini mechi mbili zote walizocheza na stars kwao na ugenini timu ya Taifa Stars ilicheza vizuri sana. Lazima tumsifie kocha Amunike kwa mbinu na panga vizuri kikosi chake.
 
uganda ni bora ukanda huu wa afrika mashariki,usione jana tumewafunga ukadhani tuko level zao,jana walifanya mambo kuwa mepesi kwa upande wetu
 
Ukijua ranking zinapatikana vipi hutasema on paper. Lolote kutokea kwenye mechi haliondoi ukweli kuwa timu fulani ni bora kuliko timu fulani.
tatizo hii mechi watu walihamasishwa sana wakahamasika hata watu ambao walikuwa hawafuatilii mpira,jamaa anadhani waganda ni watu wakujilinganisha na sisi
 
Ukweli mpira ni mchezo wa kutegemea hali ya mwenzako au mwingine, so kila mtu ananufaika na hali ya mwengine hata kama ni Brazil versus TZ, hali ya TZ inaweza nufaisha Brazil na kinyume chake
 
Sielewi kwanini watu wana-hate na kushindwa kusema ulichosema wewe!
 
uganda ni bora ukanda huu wa afrika mashariki,usione jana tumewafunga ukadhani tuko level zao,jana walifanya mambo kuwa mepesi kwa upande wetu
Kenya ndio Timu bora sisi tulichezea mechi za Lesotho hatukuchukua point pale mechi hizi tunaziona zote Uganda wana wachezaji gani mkuu tuanzie hapo ambao wamewazidi Watanzania....
 
Kenya ndio Timu bora sisi tulichezea mechi za Lesotho hatukuchukua point pale mechi hizi tunaziona zote Uganda wana wachezaji gani mkuu tuanzie hapo ambao wamewazidi Watanzania....
kenya si bora ktk soka mkuu,usiongope
ukiacha ranking za fifa
uganda wamefuzu afcon ya pili hii ktk misimu mitatu iliyopita,tena si kwa kubahatisha,wamefanikiwa kucheza chan ndani ya misimu mitatu iliyopita ya caf,kenya hawajafanya hivyo,kitu kilichowabeba kenya ni kutolewa kwa sieraleone ndo wakawa wamefuzu mapema,
kubali ukatae uganda ni bora zaidi yetu,ukitaka kuamini hilo,angalia kwa umakini matokeo yote ya mechi zote katika kundi letu halafu fanya footbal analysis
 
Nakataa huu uchawi wenu waganda km kweli msemacho mbona mlishindwa kutufunga ple kwenu tulitoka bila bila? Leo hii mje kutuaminisha kwamba hamkuichukulia siriaz hii mechi? tena ile mechi Samata alikosa kosa sana magoli siku ile ilikuwa mfe pleple kwenu shenzi zenu hlf labda hujui na hukuskiza mahojiano na mashabiki wa Uganda kabla ya mechi walisema hawawezi kutulegezea sababu kuna mwaka wao walihitaji ushindi wapite sisi hatukuwa na nafasi tukawabania kwa kuwatia 4 ngoja niingie kwa Saleh jembe sasa hv nakuletea mwaka wa hyo mechi waganda hawatasahau ile bdo wana kisasi kwann hamtaki kukubali km soka limebadilika? tungefungwa ndio mngeona Sawa tumeshinda mnaona km sio kweli hv!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari njema ni kuwa AFCON bendera yetu itepepea.
 
Ndo tabia yao waislam
Sidhani kama ni vyema kuihusisha tabia ya mtu na dini yake. Hii ni tabia chafu aliyonayo binafsi huyu jamaa maana sio uzi wa kwanza wala wa pili kuzodoa vitu halafu vinakuja kumuumbua
 
Inawezekana ikawa kweli, lakini hata kupata nafasi ya kukutana na "timu" ambayo imefuzu ukiwa na nafasi ya kufuzu nayo ni kazi. Bahati na Juhudi zimefanya kazi, tungeweza kuwa tushatoka muda mrefu kabla ya Jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…