barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hivi viuzi vya kijinga jinga mods unganisha vyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nawaona vile mnavyo elekea kwenye mjadala kama wa 'underdog team'.Ukijua ranking zinapatikana vipi hutasema on paper. Lolote kutokea kwenye mechi haliondoi ukweli kuwa timu fulani ni bora kuliko timu fulani.
uganda ni bora ukanda huu wa afrika mashariki,usione jana tumewafunga ukadhani tuko level zao,jana walifanya mambo kuwa mepesi kwa upande wetuMkuu Uganda wa kawaida kabisa huku kwetu Kenya ndio wapo juu hata ukifatilia mechi zao...mambo ya ranking katika soka yanabaki on paper ila kwenye mechi lolote linatokea Brazil katoa sare ya kulazimisha na PANAMA,Argentina kafungwa na Venezuela na Croatia ashawahi itoa German nusu final kombe la Dunia ubora wa FIFA walikua mbali sana...Zambia yupo juu kwenye viwango vya FIFA vya ubora kabaki na nduguye Mozambique,Nigeria ashawahi kuwa wa tano Africa kwenye ubora akakosa kushiriki AFCON...
tatizo hii mechi watu walihamasishwa sana wakahamasika hata watu ambao walikuwa hawafuatilii mpira,jamaa anadhani waganda ni watu wakujilinganisha na sisiUkijua ranking zinapatikana vipi hutasema on paper. Lolote kutokea kwenye mechi haliondoi ukweli kuwa timu fulani ni bora kuliko timu fulani.
Sielewi kwanini watu wana-hate na kushindwa kusema ulichosema wewe!Kama nawaona vile mnavyo elekea kwenye mjadala kama wa 'underdog team'.
Ukweli ni kwamba Uganda wapo juu sana kisoka kuliko Tanzania. Lakini mechi mbili zote walizocheza na stars kwao na ugenini timu ya Taifa Stars ilicheza vizuri sana. Lazima tumsifie kocha Amunike kwa mbinu na panga vizuri kikosi chake.
Kenya ndio Timu bora sisi tulichezea mechi za Lesotho hatukuchukua point pale mechi hizi tunaziona zote Uganda wana wachezaji gani mkuu tuanzie hapo ambao wamewazidi Watanzania....uganda ni bora ukanda huu wa afrika mashariki,usione jana tumewafunga ukadhani tuko level zao,jana walifanya mambo kuwa mepesi kwa upande wetu
kenya si bora ktk soka mkuu,usiongopeKenya ndio Timu bora sisi tulichezea mechi za Lesotho hatukuchukua point pale mechi hizi tunaziona zote Uganda wana wachezaji gani mkuu tuanzie hapo ambao wamewazidi Watanzania....
Mm muislam ila huyu kenge ananikera sana!We jamaa hufai kuwa Muislam kama ambavyo umekuwa ukijinasibu humu kila siku. Una roho mbaya utafikiri shetani kaoa dada yako.
Ndo tabia yao waislamWe jamaa hufai kuwa Muislam kama ambavyo umekuwa ukijinasibu humu kila siku. Una roho mbaya utafikiri shetani kaoa dada yako.
Sidhani kama ni vyema kuihusisha tabia ya mtu na dini yake. Hii ni tabia chafu aliyonayo binafsi huyu jamaa maana sio uzi wa kwanza wala wa pili kuzodoa vitu halafu vinakuja kumuumbuaNdo tabia yao waislam
Anakera mno huyu jamaa