Tuliingilia au tulisaidia hao wenzetu ili kuondokana na ukoloni. Lakini pia mnabidi mjifunze Tanzania ilikua inaombwa kusaidia au kutatua migogoro ya nchi hizo nasio kuwatuma wanaharakati kupinga au kuingiria serikali za nchi hizo. I STAND TO BE CORRECTEDTanzania imeingilia mambo tena ya kisiasa ya nchi zote hapo chini. Kama hujui kasome historia ya Tanzania. Wanaosema sijui Tanzania hawataki uharakati sisi tulikuwa na wanaharakati hapa kutoka kila nchi. Kamuulizeni Generali Ulimwengu
Kenya
Uganda mpaka vita
Rwanda na Burundi
Congo
Zambia
Malawi
Msumbiji
Namibia
Angola
South Africa
View: https://youtu.be/AHKAz77AmRE?si=A4vxD6IswBu22gOk
Tuliingilia au tulisaidia hao wenzetu ili kuondokana na ukoloni. Lakini pia mnabidi mjifunze Tanzania ilikua inaombwa kusaidia au kutatua migogoro ya nchi hizo nasio kuwatuma wanaharakati kupinga au kuingiria serikali za nchi hizo. I STAND TO BE CORRECTED
Nilidhani utakuja na hoja kua Tanzania iliwai kuingiria Taifa flani kwenye mambo yake. Lazma tulinde tena kwa wivu mkubwa sana umoja na amani yetu....Sasa haya ni maono binafsi Mtu yeyote anayefuata sheria na kutetea haki za binadamu bila maslahi binafsi ni msaada. Msaada sio wewe na siasa zako kukubaliana na mtu. Hawa wanaharakati walifanya yaleyale tofauti sisi tulitumia mpaka jeshi sehemu nyingine.
Kuna wanaokubaliana na udikteta, unyanyasaji, utekaji wa vijana wapinzani na mauaji lakini huwezi kulazimisha au kusema wanaharakati wanaopinga hayo ni tofauti na wappigania huru na udikteta .
Ukiona Mkeo anavyo-mtesa Housegirl.
Tanzania imeingilia mambo tena ya kisiasa ya nchi zote hapo chini. Kama hujui kasome historia ya Tanzania. Wanaosema sijui Tanzania hawataki uharakati sisi tulikuwa na wanaharakati hapa kutoka kila nchi. Kamuulizeni Generali Ulimwengu
Kenya
Uganda mpaka vita
Rwanda na Burundi
Congo
Zambia
Malawi
Msumbiji
Namibia
Angola
South Africa
View: https://youtu.be/AHKAz77AmRE?si=A4vxD6IswBu22gOk
Tuliingilia au tulisaidia hao wenzetu ili kuondokana na ukoloni. Lakini pia mnabidi mjifunze Tanzania ilikua inaombwa kusaidia au kutatua migogoro ya nchi hizo nasio kuwatuma wanaharakati kupinga au kuingiria serikali za nchi hizo. I STAND TO BE CORRECTED
Hizo hazikuwa nchi huruTanzania imeingilia mambo tena ya kisiasa ya nchi zote hapo chini. Kama hujui kasome historia ya Tanzania. Wanaosema sijui Tanzania hawataki uharakati sisi tulikuwa na wanaharakati hapa kutoka kila nchi. Kamuulizeni Generali Ulimwengu
Kenya
Uganda mpaka vita
Rwanda na Burundi
Congo
Zambia
Malawi
Msumbiji
Namibia
Angola
South Africa
View: https://youtu.be/AHKAz77AmRE?si=A4vxD6IswBu22gOk
Very correctTuliingilia au tulisaidia hao wenzetu ili kuondokana na ukoloni. Lakini pia mnabidi mjifunze Tanzania ilikua inaombwa kusaidia au kutatua migogoro ya nchi hizo nasio kuwatuma wanaharakati kupinga au kuingiria serikali za nchi hizo. I STAND TO BE CORRECTED
Vijana wa mihemko inabidi wafundishwe kuhusu aya mambo maana wanadanganyana tuVery correct
Umesahau AnjuanTanzania imeingilia mambo tena ya kisiasa ya nchi zote hapo chini. Kama hujui kasome historia ya Tanzania. Wanaosema sijui Tanzania hawataki uharakati sisi tulikuwa na wanaharakati hapa kutoka kila nchi. Kamuulizeni Generali Ulimwengu
Kenya
Uganda mpaka vita
Rwanda na Burundi
Congo
Zambia
Malawi
Msumbiji
Namibia
Angola
South Africa
View: https://youtu.be/AHKAz77AmRE?si=A4vxD6IswBu22gOk
Elezea kidogo hayo masuala ya mapinduzi huko, ukifanikiwa elezea pia mapinduzi yaliyoshindwa baada ya msaada wa UK kwa TanganyikaUmesahau Anjuan
Tuliingilia au tulisaidia hao wenzetu ili kuondokana na ukoloni. Lakini pia mnabidi mjifunze Tanzania ilikua inaombwa kusaidia au kutatua migogoro ya nchi hizo nasio kuwatuma wanaharakati kupinga au kuingiria serikali za nchi hizo. I STAND TO BE CORRECTED
Walikuja hapa wakapewa hifadhi, Wakarejea kwao kutimiza malengo yao. Hatukwenda nao huko kwao bali walienda wenyewe
Completely wrongVery correct
View attachment 3342185unadhani hii picha walikuwa Mbinguni?
HAPANA hapo ni Kenya.
udhani katika hii picha kuna watanzania?
HAPANA hao wote ni wakenya
unafikiri hao waliopo katika hiyo pia waliitwa ama kupewa mwaliko?
HAPANA kuaingilia tu mambo ya watu bila hata kuitwa