Tanzania imeingilia mambo ya nchi zote majirani

Tanzania imeingilia mambo ya nchi zote majirani

Kasome historia sio kukurupuka wakina Generali ulimwengu walipelekwa huko nchi nyingine kufanya nini? Tuache uvivu someni historia. Tanzania imeingilia chaguzi za kenya wakati wa Kikwete, tumeingilia chaguzi za wakina kabila, tumeingilia chaguzi za Burundi tulikuwa hatumpendi Banda na tumeingilia siasa zao. Nyerere walliingilia siasa Uganda hata wakati wa Obote!... Hakuna nchi hata mmoja hatujaingilia. Tanzania iliingilia siasa hata za comorros. !!! wewe unaongela nini?
Umepotoka, endelea kuishi na hiyo historia.

Weka hapa vyaanzo vya historia unayotaka tuisome
 
Walikuja hapa wakapewa hifadhi, Wakarejea kwao kutimiza malengo yao. Hatukwenda nao huko kwao bali walienda wenyewe
Uwongo mkubwa sana huu.

Vipi kuhusu wale Wanajeshi Wapiganaji waliotumwa kwenda vitani kuwasaidia Wapiganaji wa Vikosi vya Bw. Robert Mugabe kule nchini Zimbabwe na kwa Vikosi vya Samora Matchel kule Nchini Msumbiji?
 
Tuliingilia au tulisaidia hao wenzetu ili kuondokana na ukoloni. Lakini pia mnabidi mjifunze Tanzania ilikua inaombwa kusaidia au kutatua migogoro ya nchi hizo nasio kuwatuma wanaharakati kupinga au kuingiria serikali za nchi hizo. I STAND TO BE CORRECTED
Remember, kwenda kwenye misiba/majanga watu wanaojali hawasubiri mialiko. Hao Wakenya na marafiki wengine wanakuja kwasababu raia wa Tanzania wana majanga!
 
Kwani hawa waliokuja kuangalia kesi sio msaaada au msaada ni kwa CCM tu! Kupigania haki za binadamu ni kusaidia sio kuingilia. Umeingilia vipi wakati unafuata sheria ! Hawa unaosema wameingilia wamefanya kitu gani hasa kuingilia mambo ya ndani kisheria. Kikwete alienda mpaka kenya kwasababu ya chaguzi huru leo hii mtu akiongea kaingilia. wasipoingilia ndiyo tunapata Sudan sasa
wakenya wametunyoosha na matusi
dah
hahahah ila WANA POINT
 
Tuliingilia au tulisaidia hao wenzetu ili kuondokana na ukoloni. Lakini pia mnabidi mjifunze Tanzania ilikua inaombwa kusaidia au kutatua migogoro ya nchi hizo nasio kuwatuma wanaharakati kupinga au kuingiria serikali za nchi hizo. I STAND TO BE CORRECTED
Uganda ya Iddi Amini Je?

Ukiwa mwongo usiwe msahalifu
 
Polisi wanaopenda Nyimbo za Lucky Dube ndio vinara wa kutandika virungu wapigania haki.
 
Nilidhani utakuja na hoja kua Tanzania iliwai kuingiria Taifa flani kwenye mambo yake. Lazma tulinde tena kwa wivu mkubwa sana umoja na amani yetu....

Kesi ya Lissu haiko majukwaani ni kesi ya uhaini. Kwenda kusikiliza kesi ya uhaini sio siasa ni haki za binadamu. Hukumu sio diwani au ubunge ni kifo. Sasa unasemaje siasa wakati hawa wanaharakati wamekuja kwenye kesi sio kwenye kampeni 🤦🏾‍♂️ Tatizo mnajichanga sana.
 
Back
Top Bottom