Umepotoka, endelea kuishi na hiyo historia.Kasome historia sio kukurupuka wakina Generali ulimwengu walipelekwa huko nchi nyingine kufanya nini? Tuache uvivu someni historia. Tanzania imeingilia chaguzi za kenya wakati wa Kikwete, tumeingilia chaguzi za wakina kabila, tumeingilia chaguzi za Burundi tulikuwa hatumpendi Banda na tumeingilia siasa zao. Nyerere walliingilia siasa Uganda hata wakati wa Obote!... Hakuna nchi hata mmoja hatujaingilia. Tanzania iliingilia siasa hata za comorros. !!! wewe unaongela nini?
Uwongo mkubwa sana huu.Walikuja hapa wakapewa hifadhi, Wakarejea kwao kutimiza malengo yao. Hatukwenda nao huko kwao bali walienda wenyewe
Remember, kwenda kwenye misiba/majanga watu wanaojali hawasubiri mialiko. Hao Wakenya na marafiki wengine wanakuja kwasababu raia wa Tanzania wana majanga!Tuliingilia au tulisaidia hao wenzetu ili kuondokana na ukoloni. Lakini pia mnabidi mjifunze Tanzania ilikua inaombwa kusaidia au kutatua migogoro ya nchi hizo nasio kuwatuma wanaharakati kupinga au kuingiria serikali za nchi hizo. I STAND TO BE CORRECTED
wakenya wametunyoosha na matusiKwani hawa waliokuja kuangalia kesi sio msaaada au msaada ni kwa CCM tu! Kupigania haki za binadamu ni kusaidia sio kuingilia. Umeingilia vipi wakati unafuata sheria ! Hawa unaosema wameingilia wamefanya kitu gani hasa kuingilia mambo ya ndani kisheria. Kikwete alienda mpaka kenya kwasababu ya chaguzi huru leo hii mtu akiongea kaingilia. wasipoingilia ndiyo tunapata Sudan sasa
Uganda ya Iddi Amini Je?Tuliingilia au tulisaidia hao wenzetu ili kuondokana na ukoloni. Lakini pia mnabidi mjifunze Tanzania ilikua inaombwa kusaidia au kutatua migogoro ya nchi hizo nasio kuwatuma wanaharakati kupinga au kuingiria serikali za nchi hizo. I STAND TO BE CORRECTED
Na Comoro je?H
Hizo hazikuwa nchi huru
Nilidhani utakuja na hoja kua Tanzania iliwai kuingiria Taifa flani kwenye mambo yake. Lazma tulinde tena kwa wivu mkubwa sana umoja na amani yetu....