Tanzania imejitosheleza kwa idadi na ubora wa Vyuo kuzidi Kenya, Uganda na Rwanda?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Wakati fulani mtu fulani alihoji humu sababu ya Kenya na Uganda kuwa na raia wengi walio ughaibuni na baadhi ya wadau wakadai ni kwa sababu nchi zao hazina fursa kama Tanzania.

Kuna taarifa inayoonesha kuwa Kenya, Uganda, na Rwanda zina raia wake wengi wanaosoma vyuo vya nje kuzidi Tanzania. Tanzania inashika nafasi ya kumi barani Afrika huku nafasi ya kwanza hadi ya tatu zikishikiliwa na:

1. Nigeria
2. Ghana
3. Kenya

Kwa nini hivyo?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…