Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo.

Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa maeneo ya mijini huku kwa maeneo ya vijiji gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 27,000.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
 
Attachments

  • IMG-20250213-WA0000.jpg
    IMG-20250213-WA0000.jpg
    155.6 KB · Views: 1
Gharama nafuu lakini umejaa mazingira ya rushwa na unalizimishwa kununua nguzo za umeme. Nilitumia zaidi ya shilingi 600,000 plus hiyo 27,000
 
Na bado anayekuja kuunganisha huduma naye anaomba ya maji lasivyo anarudi na mita ofisini.

Bora ya Magufuli
 
Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo.

Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa maeneo ya mijini huku kwa maeneo ya vijiji gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 27,000.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
RIP JPM
 
Hili nalipinga kuna nchi umeme sio anasa hata kibanda cha chumba kimoja unapewa mita kwa bei rafiki lakini Tanesco ndio maana kuna maeneo hayana umeme mpaka ununue nguzo kwa bei isiyo rafiki!
 
Back
Top Bottom