Tanzania imepaa hadi namba saba viwango CAF!

Tanzania imepaa hadi namba saba viwango CAF!

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji599] Tanzania imepaa hadi namba saba !

Taifa lipo mikono salama kisoka

Baada ya klabu ya Yanga kufuzu robo fainali CAF Confederations cup, Nchi ya Tanzania imeongeza point 7.5 na kuwa na jumla ya point 46.5 kwenye CAF association ranking.

Poit hizo 46.5 zimetengenezwa na vilabu vitatu vya Tanzania kama ifuatavyo ;

[emoji2405] 10 = Young Africans
[emoji2405] 35 = Simba
[emoji2405] 1.5 = Namungo

Ndani ya msimu mmoja Yanga imekusanya points (10) Yaani.

2.5 = Kufuzu makundi
7.5 = Robo fainali

Kutokana na points hizo kwa sasa Tanzania tunashika nafasi ya (7) Afrika.

1. [emoji1173] Morocco
2. [emoji1093] Egypt
3. [emoji1026] Algeria
4. [emoji1221] South Africa
5. [emoji1249] Tunisia
6. [emoji1078] Dr Congo
7. [emoji1241] Tanzania

NB: Kwenye viwango vipya vya vilabu Afrika Yanga atasogea hadi kwenye top 18... Na atasogea tena iwapo atafuzu nusu fainali.

Source: Shafii daudah, (2022)

[emoji119]

Credit: Asanteni Simba & yanga
1679305088839.jpg
 
Back
Top Bottom