Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mzee Mpili kukuletea facts ni sawa na kuua mbu kwa nyundo.Lete facts mzee
Watu ni machizi na wakishapaniki wanatukanana kama watoto wapumbavu.Nimegundua usipojiangalia jukwaa hili linaweza kukufanya ukawa mwehu
Kabisa sikupingiNa kombe linabebwa
Yanga kwa msimu huu kaingiza point 10 hadi sasaMleta mada hebu nielimishe, kama Yanga kapata pointi10 huko shirikisho kwa mwaka huu, je, Simba katengeneza point ngapi mwaka huu, huko kwenye Champions league? Tuelimishane tu...
Scars OKW BOBAN SUNZU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu fafanua.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana namna ambavyo mtoa mada anajaribu kuukwepa ukweli ila bado ume muandama kama kivuli..
Huna unazi kwenye ukweli hongra sana mtaniYanga kwa msimu huu kaingiza point 10 hadi sasa
Simba kwa msimu huu kaingiza point 15 hadi sasa
Uzi unaanza anajaribu kuaminisha watu kuwa Yanga ndo ime-secure nafasi ya kupeleka timu nne kimataifa. Ukweli ni kwamba, nafasi ya timu nne kimataifa imeletwa na mnyama na ikawa maintained na mnyama na hata wao iliwabeba wakapasuka nje ndani dhidi ya Rivers united.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu fafanua.
Kongolee Simba tunaendelea kuwafungulia milango
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hili jukwaa linataka vichwa vigumu, ukiwa soft sharti utembee na panadol mfukoni.Nimegundua usipojiangalia jukwaa hili linaweza kukufanya ukawa mwehu
Uongo uongo ....timu zote zmechangiaUzi unaanza anajaribu kuaminisha watu kuwa Yanga ndo ime-secure nafasi ya kupeleka timu nne kimataifa. Ukweli ni kwamba, nafasi ya timu nne kimataifa imeletwa na mnyama na ikawa maintained na mnyama na hata wao iliwabeba wakapasuka nje ndani dhidi ya Rivers united.
Pili, anajaribu kuaminisha watu kuwa utopolo kufuzu robo fainali ya kombe la mbuzi kumeihakikishia nchi kupeleka timu 4 kimataifa, ukweli ni kwamba wao hata wasingefuzu kabisa group stage bado nafasi ya timu 4 ingeendelea kuwepo, sababu nchi inayotufuatia ipo chini sana ki-point hivyo hawawezi kutufikia anytine soon.
Tatu, anajaribu kui-over credit Yanga wakati namba zinamkataa, hapo kwenye list yake ya timu tatu zilizo changia points ameanza na utopolo yenye point 10 na kufuatia na simba mwenye point 35, kama sio uwendawazinu ni nini.