Tanzania imepaa hadi namba saba viwango CAF!

Safi.Sasa,hebu weka ranks kwa kila timu.Kuna kauchawi fulani nataka nione.🤔🤔🤔🤔
 
Ila chuki pembeni watani makolo wameupiga mwingi sana.
 
Yanga buana, sasa si ungefungua uzi wa Yanga tu.. Sema tangu Manji aache kutoa viingilio vya bure uwanja wa taifa unapanda hadhi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan utopoloo wana chachawa had bas, khaaaaah.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hili jukwaa linataka vichwa vigumu, ukiwa soft sharti utembee na panadol mfukoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii
 
wengi mnatatizo la afya ya akili.
Hapana mkuu .....tuko More intelligent.....that's y hata serikalin Kuna watu wetu wakubwa

Tofauti na Simba mashabiki wao ni
Kitale

Tundamani

ZUWENA


Mwijaku
 
Data zimemkaba mleta uzi japo anajitaidi kurusha mateke na mikono kujinasua lakn hawapi
 
Reactions: Tui
Nawaza, ingekuwa vipi levels alizonazo Mnyama currently, zingefikiwa na utopwinyo!!?
Wangeshiriki vikao vyote vya bunge, milo yote wangekula magogoni, hovyo kabisa hili litimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…