Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
"Morrocco have influence in CAF to manipulate the match scheduling and officiating"
Hayo ni maneno yaliyotamkwa na aliyekuwa kocha wa Tanzania Adel Amrouache baada ya mchezo kati ya Morrocco na Tanzania tarehe 17/01/2024
Tanzania amekuwa hana record nzuri anapokuwa akikutana na Morocco kwani katika mechi tano za mwisho alizokutana nao, amekutanishwa na kadi nyekundi katika mechi tatu kati ya mechi tano...
Maneno ya Kocha Adel Amrouache, pamoja hii record yananifanya niingiwe na wasiwasi na mechi hii ya leo.
Hadi muda huu tayari CAF imemleta refa ambaye amewahi kulalamikiwa sana na mashabiki wa Tanzania baada ya kukataa goli la Yanga na kukaidi hata kwenda VAR kujiridhisha.
Unapocheza na Morocco kaa ukijua red card ni nje nje.
Hata Kenya alimfunga Morocco kwa msaada wa jua tu lakini red card ilishamhusu.
Watanzania wenzangu twendeni uwanjani tukijiandaa na hila za huyu refa wao.
Hebu angalia hiyo clip hapo chini