Tanzania imepiga hatua kwenye kupungua njaa na utapia mlo, ila bado kuifikia Kenya

Tukubali uhalisia wa mambo, dawa ata ikiwa chungu inabidi kumeza ili maumivu yatokomee mkuu! Hili la njaa sio la kuchekana
 
Buku saba wa Lumumba wakishiba ubwabwa Dar wanabweteka bila kujua nchi ina njaa.
Mbeya tanzania ni mkoa wenye changamoto ya utapia mlo but kila chakula kipo,Tz kikubwa kinachochangia ni Education/attitude of some people towards some food ex.kuna mikoa ukila unga wa dona(unshelled maize flour) unaonekana maskini but ndiyo unga wenye nutrients nyingi,Bukoba wao chakula=ndizi.
 
Mechi tarehe 7 mkuu, inaonyesha hata hukuisoma taarifa ile πŸ™‚
Tukubali uhalisia wa mambo, dawa ata ikiwa chungu inabidi kumeza ili maumivu yatokomee mkuu! Hili la njaa sio la kuchekana
Huku ni Ruvuma, hilo ni shamba la mtanzania mmoja tu analima shayiri, mahindi, ngano mkifika hii stage nishtue.

Huku ni Ruvuma, hilo ni shamba la mtanzania mmoja tu analima shayiri, mahindi, ngano mkifika hii stage nishtue.

View attachment 1042060View attachment 1042061View attachment 1042062
Brother large scale farming sio kitu kigeni ata upande huu does that mean the farmer feeds the whole tz? NO stop burying your head in the sand wakati kunachomeka! Fanya juhudi wajibisha Serikali yako tuangamize njaa, ukosefu wa elimu, afya na miundo mbinu bora! Tukifanikisha haya, EAC will rule!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…