Hunger does not need a mere survey to be revealed, kuna msemo wa kiswahili unasema "adui yako muombee njaa" means adui yako mkuu mbele ya njaa ni lazima awe rafiki yako tu as long as una chakula.
You can't put Tanzania on the same lane with Kenya in food security, nyie serikali yenu hutoa ruzuku kwa viwanda vya unga ili muuziwe unga kwa bei rahisi sasa kuna Taifa imara kweli ambalo linatoa subsides kwenye chakula kwa wananchi wake?
Every year mnapokea misaada ya chakula kutoka mataifa mbali mbali, Tanzania among your greatest food donors (we sell 50% of all foods you are consuming at the very lowest price) that's donating.
Tanzania wakulima wanalalamika kulima mahindi lakini bei ndogo sana, this season gunia la mahindi liliuzwa kwa KES 435, how this is possible in Kenya?