Tanzania imetajwa kuwa nchi ya nne kwa uzuri wa asili duniani

Tanzania imetajwa kuwa nchi ya nne kwa uzuri wa asili duniani

Drc congo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
638
Reaction score
2,917
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya nne kwa uzuri duniani kwa mujibu wa tovuti ya money.co.uk. Tanzania imepata alama 6.98 kati ya alama 10 zilizotumika kupima uzuri wa nchi.

Orodha ya Nchi 10 nzuri zaidi Duniani

1. Indonesia
2. New Zealand
3. Colombia
4. Tanzania
5. Mexico
6. Kenya
7. India
8. France
9. Papua New Guinea
10. Comoros

FB_IMG_16619345355394951.jpg


Source: Natural Beauty Report | money.co.uk
 
Wazungu smart sana. Hapo mtajaa upepo mnaibiwa na kutunza miti wao hawana ata mti mmoja uliosimama.
 
Wametuibia....Tanzania kiuhalisia ndio nchi namba 1 kwa uzuri duniani....Nchi gani imetuzidi??
Kumbuka Maghorofa yanajengwa..Utajenga Milima na mbuga za wanyama?
Mkuu sio kweli,La kama niukweli sio kwa vigezo ulivyotaja..
Ishu kama vimilima na mbuga ni sababu ndogo kuiweka TOZONIA namba 4
 
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya nne kwa uzuri duniani kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na tovuti ya money.co.uk. Tanzania imepata alama 6.98 kati ya alama 10 zilizotumika kupima uzuri wa nchi.

Orodha ya Nchi 10 nzuri zaidi Duniani

1. Indonesia
2. New Zealand
3. Colombia
4. Tanzania
5. Mexico
6. Kenya
7. India
8. France
9. Papua New Guinea
10. ComorosView attachment 2340715
KUsingekuwa na CCM Tanzania ingekuwa ni Paradise
 
kitendo cha kutokuepo hyt jpm leo Tz nzur ,mkuu hizo kiki for my mom slh ilituibiwe zaidi
 
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya nne kwa uzuri duniani kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na tovuti ya money.co.uk. Tanzania imepata alama 6.98 kati ya alama 10 zilizotumika kupima uzuri wa nchi.

Orodha ya Nchi 10 nzuri zaidi Duniani

1. Indonesia
2. New Zealand
3. Colombia
4. Tanzania
5. Mexico
6. Kenya
7. India
8. France
9. Papua New Guinea
10. ComorosView attachment 2340715
Hayo majizi yanasifia ili yaje kuiba
 
Back
Top Bottom