Tanzania imetajwa kuwa nchi ya nne kwa uzuri wa asili duniani

Natural beatiful country,naweza kukubaliana na wewe,nimetembea sehemu nyingi sana za hii nchi,ukweli ni kuwa nzuri,sema wenzetu wanatuzidi kwenye kuzitangaza nchi zao ndio maana wengi hawakubaliani na hili...
 
Ukitaka kum mega Dem yeyote mwenye njaa njaa asiyejielewa we mpe sifa sifa za kijinga lazima ajae 18.
 
Beberu akitaka kukuibia lazima akuite majina mazuri.
WE UKIAMBIWA NI MZURI UYACOMMENT HIVYO? KWANINI MKO HIVYO? uNATAKA USIKIE KT KIBAYA NDIYO UFURAHI? UWE MZALENDO KWA NCHI YAKO, PENDA TAIFA LAKO.
 
Nini sababu ya kupaka rangi za chama cha siasa kwenye barabara
 
Hao watafiti walifika Kwamtogole?
 
Colombia wamekata miti kwaajili ya heroin bado ina uzuri wa asili [emoji23][emoji23]
 
uzuri...wamesisitiza "naturally beauty" yaani uzuri wa asili, na hasa hapo wanalenga kwenye mbuga na mapori yetu. usijidanganye kwamba uzuri ni wa hilo daraja la ubungo ambalo ulaya wamekuwa nalo hata kabla sisi hatujapata uhuru na yapo mkoa yote, hata ukienda katavi yao unaona ni nzuri kuliko dsm. kibaya zaidi ni kwamba nchi zao ni nzuri ki mordern sio kiasili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…