Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021

Ujinga wa wengi wetu ndio mzigo mzito wa taifa hilo. Hii ni nafasi ya kupokezana, kura zinapigwa tu kuthibitisha kuwa Tanzania ifuate au nchi nyingine katika alfabeti ichukue. Hakuna sifa za nafasi hii isipokuwa uanachama wa Umoja wa Mataifa!!

Tunarudi kulekule kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa SADC kuifanya kuwa issue.

Tujifunze kufahamu mambo hufanywaje na wenzetu. Sio kila jambo ni sifa au fedheha kwa Tanzania. Mengine ni utaratibu tu.
 
Usidanganye watu, haijashikwa na Tanzania, imeshikwa na Mtanzania na atafanyakazi kulingana na kanuni zinavyomruhusu tu
 
Tusijifu sana,ni zamu yetu,kwa hiyo isitumike kisiasa.wala haibadilishi chochote!!

Mfano,ikiwa baba walianzisha kampuni na marafiki zake, baadaye baba kafa,zamu yake itakapo fika ya kuongoza basi kijana wake atapewa kuongaza hata kama kijana huyo hafai,kwa hiyo ni zamu yetu tusijifu.

By the way nchi ndiyo inapewa siyo balozi au rais, lakini,kwa sababu sisi ni representative nation basi rais anastand behalf of Tanzanians,


Kwa hiyo sioni kipya hapo.

Ni ushamba ushamba tu.
 
Mama yako nae ni zuzu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…