jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Mbona kama vile yale yale tu kasoro baadhi sana?Wacha hali iwe mbaya zaidi ila hata wajinga na vipofu wauone ukweli maana kuna watu bado hawaamini kuwa Magu ni mtu hatari.
Tanzagiza ina ombwe la binadamu kwa maana halisi ya binadamu.
Je hii thread haiko relevant hadi sasa hivi?