jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,329 Reaction score 25,263 Jul 9, 2024 #141 Salary Slip said: Wacha hali iwe mbaya zaidi ila hata wajinga na vipofu wauone ukweli maana kuna watu bado hawaamini kuwa Magu ni mtu hatari. Tanzagiza ina ombwe la binadamu kwa maana halisi ya binadamu. Click to expand... Mbona kama vile yale yale tu kasoro baadhi sana? Je hii thread haiko relevant hadi sasa hivi?
Salary Slip said: Wacha hali iwe mbaya zaidi ila hata wajinga na vipofu wauone ukweli maana kuna watu bado hawaamini kuwa Magu ni mtu hatari. Tanzagiza ina ombwe la binadamu kwa maana halisi ya binadamu. Click to expand... Mbona kama vile yale yale tu kasoro baadhi sana? Je hii thread haiko relevant hadi sasa hivi?