Tanzania imetoa vyeti vya uraia kwa wakimbizi wa Burundi zaidi ya laki moja

Tanzania imetoa vyeti vya uraia kwa wakimbizi wa Burundi zaidi ya laki moja

jk-uraia-oct16-2014.jpg




President Jakaya Kikwete has granted citizenship to 162,000 Burundian refugees who have lived in the country for some 42 years.

The President issued copies of citizenship certificates on Nyerere Day – October 14, in Tabora Region where he was on an official visit.

In attendance at the event were a number ofgovernment officials including Home Affairs minister, Mathias Chikawe, United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR) Director in the country, High Commissioners for United Kingdom, Canada, Ireland, Belgium and representative for the European Union, Japan and Catholic Bishop for Tabora Diocese, Paul Ruzoka.

President Kikwete said his expectation is to see the new citizens fulfilling their promise of being good citizens.

"What you are seeing today is the fulfillment of the promise I made to you a longtime ago which was to grant you citizenship. My expectation and those of our fellow Tanzanians is to see you being good citizens as you have promised when swearing," said Kikwete.

Speaking at the function, UNHCR representative in the country, Joyce Mends-Cole, said Tanzania has been the first country to grant citizenship to such a number all at once.

For her part, Ireland High Commissioner to Tanzania, Fionnula Gilsenan who spoke on behalf of her fellow High Commissioners, commended President Kikwete for granting citizenships to the former refugees.

''You (President) have done a great job. This is a very big act and you yourself have seen how you have made these people happy. You have heard their appreciative songs to you and your government," she said.

In 2007 President Kikwete had made a promise to grant citizenship to the Burundian refugees who have been in the country since 1972.
The former refugees had been living in refugees' camp in Kaliua district, Tabora Region.




SOURCE: THE GUARDIAN


 
Haipiti wiki bila Tanzania kufanya jambo la ajabu ajabu,Tanzania huwa haijui inakoelekea ili mradi nayo ipo tu.Utawafanyia nini ili watusi na wahutu wakushukuru?serikali imejandaa vipi ili hawa raia wapya wasituhujumu leo au kesho?
 
Huwezi kuwasaidia warundi kwa kuwapa uraia kwa kiasi kikubwa hivi.Unaweza kuwasaidia warundi kwa1. kujenga Reli nzuri itakayofika Burundi na kuingia hadi DRC mpaka Goma(kupunguza trafic ya bidhaa zinazofika au kipita Burundi)2.kuweka meli kubwa na ya kisasa itakayozunguka ziwa Tanganyika vilivyo3.kujenga barabara nzuri kutokea kigoma,Burundi hadi DRC4.Kuimarisha bandari ya DSM,KIGOMA na BUJUMBURA.5.Kuwaunganisha Warundi na mkongo wa mawasiliano wa Taifa.6.kutengeneza umeme mwingi wa gesi na kuuza 7.Kuimarisha Air Tanzania ili tutoe huduma mpaka Huko.8.kupunguza kodi kwa bidhaa zinazopitia/kuingia Burundi kwenda DRC na kuacha zile zinazopitia Rwanda ziwe juu kidogo.9.Kujenga viwanda vya pamoja upande wa Tanzania vitakavyoweza kusindika kahawa na chai kutoka kigoma na burundi.BURUNDI INAHITAJI KUUNGANISHWA TANZANIA,SIO KUWAPA URAIA WATU WENGI HIVYO.
 
Wamepiga mtihani wa kiswahili? Kuimba wimbo wa taifa? Wamelipia sh ngapi? (Kwa nchi zingine unalipa mpk m10)
 
....Nashangaa hawa watu wapwani wasiojua tabia ya hawa jamaa,hakika mmeliwa,warundi, wanyarwanda sio watu wa mchezo,mjiandae na uhalifu wa bunduki........inakuwaje unasema unawapa uraia watu ambao unasema walikuwa wanakaa hapa tanzania kwa miaka 42!....Nashangaa sana nchi hii ardhi hatuna,rasimalin ni ndongo lakini mnawazoa tu wapakistan,waarabu,wapalestine,kongo,kenya,rwanda,burundi......shauri lenu........maana ni ujinga tu,au kujipendekeza kwa wafadhili au mmeoa huko sasa mnahalalisha ili isionekane mmeoa TX,huko ofisi kuu kuna kasuku!

Umesahau deni la taifa ndugu, kila mtanzania anadaiwa sh. 750,000 including wewe pia. Hao jamaa kupewa uraia it means deni lako limepungua kwa kuwa nao watachangia kulilipa.
 
HATA Mandela Origin yake haikuwa South Afrika... So I don't see a problem in fact Sijui kwa nini tuna hii mipaka ya wakoloni... Na tunaiabudu.
 
Hivi kuna nchi imewahi kutoa urai kwa mkupuo kwa watu wengi hivyo? Dah Wale jamaa wa Guness inabidi watupie macho
 
Hivi kuna nchi imewahi kutoa urai kwa mkupuo kwa watu wengi hivyo? Dah Wale jamaa wa Guness inabidi watupie macho

Tanzania si lazima kila kitu tuige twaweza kuwa wa kwanza wengine wakaiga.

Hakuna tatizo la kuwapa uraia hao warundi.Warundi wengi wana tabia nzuri sana na ni wachapa kazi sana.Wana nidhamu.Na wanajituma sana katika kazi yoyote.
 
Kwenye hao 16000 hakuna mkagame hata mmoja. ?
 
Uwa najisikia kichefuchefu sana ninapomuona muafrika anambagua muafrika mwenzake na kumuita jambazi eti kwasabau ya utaifa wake,hivi wanaokamatwa na maSMG kila siku Arusha na Dar ni Warundi,ebu tuwe na ustaarabu kwa waafrika wenzetu na tumpongeze raisi wetu kwa kitendo cha kibinadamu alichokifanya,wakati sis tunataka kuwabagua Marekani inataka ipelekewe wakimbizi elfu karibu 40 toka Tanzania iwape uraia na kuipunguzia Tanzania mzigo.Tuache xenophobia ni aibu.
 
Nadhani hili jambo limewezekana kwasababu Burundi imekuwa bega kwa bega na Tanzania katika EAC Rwanda ya Kagame imekuwa na kiburi ndio maana Tanzania ikaanzisha operasheni Kimbunga.
 
Lazima wafanyiwe management nzuri,hawa wanyarwanda na warundi huwa hawasahau kwao na ni mabingwa was hujuma. Angalia kagame,kaishi Tanzania,kawa mkuu mkuu wa intelligence wa la Uganda lakini hatimaye karudi kwao!!!!!,baadhi waliishi Kongo tangu miaka ya hamsini,hawakuridhika,wakataka kuunda taifa jingine ndani ya Kongo,cha kufanya ni kuhakikisha hawakai eneo moja kama sasa, wasambazwe sehemu mbalimbali,hats kama kuna taifa linataka kuwatumia kwa hujuma mbalimbali zikiwamo za kijeshi lishindwe,wasikae mpakani karibu na nchi zao za asili kwa wingi mkubwa,na tatu TISS iwatumie baadhi kama maajenti na iwapeleke huko walikotoka,
Wengine wahamishiwe Zanzibar kama kweli Tanzania ni moja!
 
Haipiti wiki bila Tanzania kufanya jambo la ajabu ajabu,Tanzania huwa haijui inakoelekea ili mradi nayo ipo tu.Utawafanyia nini ili watusi na wahutu wakushukuru?serikali imejandaa vipi ili hawa raia wapya wasituhujumu leo au kesho?
Hivi mnasomaga au mnakurupuka tu ku comment. Hawa watu wamekuwepo toka 1972 hata kabla wewe pengine hujazaliwa, wameishi kwenye ardhi ya Tanzania kwa miaka yote hiyo. Kuna tatizo gani la kuwatambua kama wenzetu? Pengine ni wazalendo kuliko hata hao wanaojiita wazawa.
 
wapewe tu, mi nawahonea huruma sana warundi. i hope wanyarwanda watajifunza kuishi vizuri na majirani ili nao wapewe. lakini kwa uhasama ambao kagame ameuleta, sidhani.
 
Hivi mnasomaga au mnakurupuka tu ku comment. Hawa watu wamekuwepo toka 1972 hata kabla wewe pengine hujazaliwa, wameishi kwenye ardhi ya Tanzania kwa miaka yote hiyo. Kuna tatizo gani la kuwatambua kama wenzetu? Pengine ni wazalendo kuliko hata hao wanaojiita wazawa.

We..!mimi nakurupuka wewe?Wewe huna vision kabisa,kama kigezo cha kupewa uraia ni kukaa nchi ya watu muda mrefu mbona hawakupewa uraia siku zote.na kwanini wakae toka 1972?kwani burundi kuna matatizo miaka yote?Unajua nini kinaisumbua DRC mashariki wewe?umepewa kichwa na Mungu kitumie kufikiria mambo kwa kina.
 
Hivi mnasomaga au mnakurupuka tu ku comment. Hawa watu wamekuwepo toka 1972 hata kabla wewe pengine hujazaliwa, wameishi kwenye ardhi ya Tanzania kwa miaka yote hiyo. Kuna tatizo gani la kuwatambua kama wenzetu? Pengine ni wazalendo kuliko hata hao wanaojiita wazawa.

kuna watu wanaish zaid ya miaka 30 Saudi Arabia hawajapewa uraia,
huo uzalendo unaouzungumzia wewe uzalendo upi,wao wanachinjana kwa upuuz wao,sasa kuna amani warudi kwao.Hawa warundi na Wanyarwanda unadhan wange-entertain upuuz huo?
 
Back
Top Bottom