Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba?

unajua kwanini inatokea hivyo,sababu kuu Yanga ni mtoto wa Tanu kwa sasa ndio CCM.kwa kifupi Yanga ni CCM pure.Simba ipo neutral.

makamanda mashabiki wa Yanga mtajijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…