Wakiruhusu chakula kitoke watskuja kujuta na kazi watapoteza,, niko nimekaa paleee mtakuja kunikumbuka,Tulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa.
Haya sasa huko mpakani Holili Shehena ya mahindi imezuiwa magari zaidi 500 hayana vibali ku export mahindi while tulisema chakula kipo nawatu wauze kwa kuwa ni jasho lao.
Samahani natamani kujuwa je mmebadili GIA hewani wau kitu gani kimetokea.
Kwani simliambiwa ? Namkajibu kwa kejeli hamfungi mipaka na kumkejeli Hayati Magufuli sasa mbona mnafunga mpaka achieni chakula kitoke alafu muone mtakavyo watawala watu wenye njaa. End
Habari kamili The Citizens ya Kenya.
No sio kenya, wakenya wanataka mahindi kuliko hata wanavyotaka dhahabu,, ishu insyosemwa, wafanyabiashara hawana export permit,,,Si kuna taarifa kwamba mamlaka za Kenya ndiyo zimegomea hayo mahindi kama ilivyokuwa enzi zile,kumbe propaganda!
Wafanyibiashara wafunga mpaka wa Kenya Na Tanzania wakilalamikia kuzuliwa kwa malori ya mahindiSi kuna taarifa kwamba mamlaka za Kenya ndiyo zimegomea hayo mahindi kama ilivyokuwa enzi zile,kumbe propaganda!
Sema neno kuhusu huyu rais lini anatoka maana naona ameanza kuuza kila kitu nchi inaangamiaTulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa.