chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mimi ningeteuliwa kuwa kamanda wa kikosi cha zimamoto na uokoaji, jambo la kwanza ningeomba kibali cha kuunda vikosi maalum hata vinne, kwa ajili ya zimamoto na uokoaji wakati nchi inasubiri kuwa na kikosi nchi nzima, Rufiji haupo, Kilosa haupo.
Ndio maana hata kwenye gwaride hamkuwepo leo siku ya Muungano
Ndio maana hata kwenye gwaride hamkuwepo leo siku ya Muungano