Tanzania ina mamilionea 2400 wa USD, sita wamevuka 100m na mmoja aliyevuka bilioni 1

Tanzania ina mamilionea 2400 wa USD, sita wamevuka 100m na mmoja aliyevuka bilioni 1

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Tanzania inabaki nchi pekee Afrika mashariki yenye mtu mwenye utajiri zaidi ya dola bilioni moja za kimarekani. Ina jumla ya mamilionea 2400 kwenye dola ya mmarekani huku 1300 katika hao makazi yao yakiwa Dar es Salaam na mji huu ukishika nafasi ya 12 miji Afrika wananchi wake wakiwa na utajiri wa dola bilioni 24.

Tanzania imerekodi ongezeko la 20% kwa mamilionea kutoka mwaka 2012 huku baadhi ya nchi wakipungua. Inashika nafasi ya 10 barani Afrika kwa kuwa na mamilionea wengi.

Data: Utafiti wa New World Wealth and Henley & Partners

Mohammed-Dewji.jpg
 
Shida mamilionea wenyewe ni wahindi na waarabu, muda wote wanaficha mpira na janjajanja nyingi No kutanua uwanja.
 
Back
Top Bottom