Tanzania ina Marubani Wanawake 11 tu kati ya 106

Tanzania ina Marubani Wanawake 11 tu kati ya 106

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,696
Akijibu swali aliloulizwa na mbunge Angelina Malembeka akitaka kujua idadi ya marubani nchini, Naibu waziri kwa niaba wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi amesema, mpaka sasa kuna Marubani 106 na kati yao Wanawake ni 11 Wanaume ni 95.

Marubani wanawake wanarusha ndege aina zote tatu ambazo ni De Havilland maarufu kama Bombadier, Airbus na Boeing. Kati ya Marubani hao 106, mmoja tu ndio sio Mtanzania.
 
Back
Top Bottom