Kongo kazi ni rahisi.Na tayari tumeshapeleka vikosi vyetu kushiriki kuzuia vita.Kule Palestina iwapo hatuna ubavu kupeleka vikosi basi angalau tujtoe kimasomaso kwa kuandamana halafu tukae tuangalie hali inavyokwenda.Ni nchi gani ya Afrika iliyoandamana kisa Palestina... Mnataka watanzania tuonekane ni waafrika tusiokuwa na Akili timamu, Congo kila siku watu wanauwawa kuzidi hata palestina lakini hujawai hata kuthubutu kuandamana... Leo hii Dini yako inakushirutisha uandamane kisa waarabu kwa sababu ndiko dini ilikotoka... Je Dini yako inazungumziaje kuhusu upendo, kwamba uandamane kisa waarabu tu, ila wakongo wafe tu
Huko Sudan kwwnyewe janjaweedNi nchi gani ya Afrika iliyoandamana kisa Palestina... Mnataka watanzania tuonekane ni waafrika tusiokuwa na Akili timamu, Congo kila siku watu wanauwawa kuzidi hata palestina lakini hujawai hata kuthubutu kuandamana... Leo hii Dini yako inakushirutisha uandamane kisa waarabu kwa sababu ndiko dini ilikotoka... Je Dini yako inazungumziaje kuhusu upendo, kwamba uandamane kisa waarabu tu, ila wakongo wafe tu
Sudan jeKongo kazi ni rahisi.Na tayari tumeshapeleka vikosi vyetu kushiriki kuzuia vita.Kule Palestina iwapo hatuna ubavu kupeleka vikosi basi angalau tujtoe kimasomaso kwa kuandamana halafu tukae tuangalie hali inavyokwenda.
Lakini Tukumbuke kuna watanzania ambao mpaka sasa wanashikiliwa mateka huko palestinaNchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas.
Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto.
Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi wapalestina wanavyouliwa.
Iwapo Tanzania kama nchi haijaonesha kushughuliswa sana na vifo hivyo.Jee inapata hasara gani kwa watanzania kwa hiyari yao kuandamana na kuonesha hisia zao kwa ndugu zao wa Palestina.
Kwahiyo hao HAMAS walianza vita ili sisi tuwaonee huruma. Walivianzisha wenyewe, wavimalize wenyewe.Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas.
Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto.
Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi wapalestina wanavyouliwa.
Iwapo Tanzania kama nchi haijaonesha kushughuliswa sana na vifo hivyo.Jee inapata hasara gani kwa watanzania kwa hiyari yao kuandamana na kuonesha hisia zao kwa ndugu zao wa Palestina.
Hawajaomba kuhurumiwa.Huruma ni wajibu wetu kutokana na kuuliwa watu ambao si Hamas na wengi wakiwa ni watoto wadogo.Kwahiyo hao HAMAS walianza vita ili sisi tuwaonee huruma. Walivianzisha wenyewe, wavimalize wenyewe.
Kweli. Na kwa hilo ushauri wako ungeenda kwa HAMAS kuwa waache kufanya uhalifu Kisha waende kujificha nyuma ya akina mama na watoto. Huo ujanja wao ushagundulika siku nyingi. Wapambane na wanajeshi wa Israel ana kwa ana kama wanaume. Wakiendelea kujificha nyuma ya akina mama na watoto, basi hakuna jinsi ni wote kutandikwa tu!Hawajaomba kuhurumiwa.Huruma ni wajibu wetu kutokana na kuuliwa watu ambao si Hamas na wengi wakiwa ni watoto wadogo.
Ingekuwa wanaouliwa ni Hamas basi huenda tungechukua jukumu tofauti na sasa.
sasa mhaya kwa nini usiandae maandamamano ya kuunga mkono israel kwa kuwa ukiristo umetokea hukoNi nchi gani ya Afrika iliyoandamana kisa Palestina... Mnataka watanzania tuonekane ni waafrika tusiokuwa na Akili timamu, Congo kila siku watu wanauwawa kuzidi hata palestina lakini hujawai hata kuthubutu kuandamana... Leo hii Dini yako inakushirutisha uandamane kisa waarabu kwa sababu ndiko dini ilikotoka... Je Dini yako inazungumziaje kuhusu upendo, kwamba uandamane kisa waarabu tu, ila wakongo wafe tu
Nashangaa misikitini hilo hawa8ni hao akina shehe Ponda na wengineoLakini Tukumbuke kuna watanzania ambao mpaka sasa wanashikiliwa mateka huko palestina
Nchi nyingi za kiarabu zimetoa msimam .huo huo na hawataki kupokea wakimbizi toka Gaza wanaogopa kupokea magaidiKwahiyo hao HAMAS walianza vita ili sisi tuwaonee huruma. Walivianzisha wenyewe, wavimalize wenyewe.
Hivi bado hujui kuwa ile Tanzania yenye viongozi wenye maono na misimamo imara ilizikwa na Nyerere? Leo nimesoma mpaka raia Macron wa France amesema Israel iache kuua watoto wa kipalestina. Mimi nashanga watanzania wajinga wasio na utu bali wanashabikia uuaji huu. Imagine uko nyumbani kwako na watoto wako hujafanya kosa lolote mara paa nyumba inapigwa na bomu na familia yako yote inateketea. Maandamo ya kina Ponda waliyokataza yanaonyesha jinsi tulivyo na serikali ya wababaishaji na waoga.Watu wakiandamana kwani inatoa maana kuwa Tanzania imechukua upande fulani
Sisi tunaguswa na vifo vya wakongo ndio ndugu zetu hao magaidi kichapo ni halal yaoNchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas.