Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas.
Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto.
Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi wapalestina wanavyouliwa.
Iwapo Tanzania kama nchi haijaonesha kushughuliswa sana na vifo hivyo.Jee inapata hasara gani kwa watanzania kwa hiyari yao kuandamana na kuonesha hisia zao kwa ndugu zao wa Palestina.
Andamana wewe, hivyo vita viko huko nchi za watu sisi tuandamane ili iweje? Hapa Tanzania tu Wamasai walitolewa kimabavu toka kwenye makazi yao ya asili kupisha Waarab wafanye yao mbona hukutoa hii hoja ya kuamasisha Watanzania kuandamana?
 
Katika kipindi ambacho dunia yote na waarabu wenyewe wameungana na Israel ni hiki na sababu kuu ni namna Hamasi walivyotekeleza shambulio lao na kuua watu 1400 kuteka wengine na kuacha familia zikiwa na huzuni iliyopitiliza
Sasa Gaza imeenda na kwa Sasa ni new province ya Israel ambayo itakuwa na Mayor Jews, Governor Jews security officer wote watakuwa Jews na Kila siku wataishi nao ili kuwa sweep kabisa Hamas
Gaza is gone my friend!!!
 
Msimamo wetu unategemea TEC wanasemaje. Kuwa mpole kwanza ndugu.
 
Msimamo wetu unategemea TEC wanasemaje. Kuwa mpole kwanza ndugu.
tEC kama wanafuata mafundisho ya kikristo vyema basi watajiunga na wenzao wa Palestina kulaani mauaji yanayofanywa na mayahudi.
 
Back
Top Bottom