Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

Hakuna cha kuunga mkono Palestina wapalestina waturudishie kwanza watoto wetu wawili wakiwa hai wazima wa Afya waliotekwa na wapalestina Hamas

Hakuna cha kucheka nao au kulia nao kwa sasa Walete watu kwanza waliowateka na wanaowashikilia.Hatuwezi kuangulia kilio msiba wa wapalestina wakati wanashikilia mateka watu wetu

Waambieni wapalestina watupe watu wetu watanzania wenzetu

Sisi tuna uchungu na watu wetu Mollel na Mtenga wanaoshikiliwa na Hamas
 
Ungeandika kwa kutumia umoja i.e. wewe unasema, ningekuelewa. Lakini unaposema ''sisi'' sikuelewi. Wewe na mke au mume wako?
 
Nchi nyingi za kiarabu zimetoa msimam .huo huo na hawataki kupokea wakimbizi toka Gaza wanaogopa kupokea magaidi

Wanasema Hamas walipoanzisha hiyo.vita hawakuwashirikisha hizo nchi nyingine za kiarabu basi wamalize hilo tatizo wenyewe
Safi kabisa!
 
Acha unafiki!
Hapo DRC watu wanakufa kila siku. Mbona husemi na hawa ndio kila siku mizigo yao inapita hapa bandarini wanalipa kodi. Na tupo nao kwenye EAC.

Pale Sudan ndio kwanza wanamgambo wanachinja watu kila siku, hadi timu za mpira zinakuja kuomba hifadhi hapa na hamsemi.

Halafu unata Tanzania ikae upande wa wapalestina kwa sababu zako za kidini. Maajabu haya.

Hayo matamko yenu toeni misikitini ya yaishie huko huko yasisikike hata kwenye vile vipaza sauti.
 
Hawajaomba kuhurumiwa.Huruma ni wajibu wetu kutokana na kuuliwa watu ambao si Hamas na wengi wakiwa ni watoto wadogo.
Ingekuwa wanaouliwa ni Hamas basi huenda tungechukua jukumu tofauti na sasa.
Mbona tarehe 7 October hamkuandamana hamas ilivyofanya shambulio??

Mbona hamjaandamana kuhusu vijana wawili watanzania kutekwa na hamas, mpo kimya?
 
Fikiri mwenyewe walichokifanya Hamas tatehe 7, October waliwaacha watoto na kuuwa watu wazima na wanajeshi?
 
Mbona hukuongea haya kuhusu Ukraine au Tanzania Ina maslahi na vifo vya wa Ukraine kile apandacho mtu ndicho avunacho kama una connection na majamaa wa hamas ambia waachie vijana wetu wawili mara Moja, huwez kuonea huruma watu walioteka familia yako ukaonekana una upendo wa dhat
 
Suala limekua mchuano wa kidini sasa
Kuna watu ni chuki ya kimasikini wa akili unawafanya wawe hivi
Leo ni siku ya mashujaa 🇬🇧 Remembrance Day na pia kutakuwa na maandamano makubwa sana ya hii vita ya ME
Waziri wa mambo ya ndani ametakata police wasitishe zoezi ila police wamekataa kwa kauli zake chafu na maandamano tunaenda
UK hawana undungu na Palestine ila wana ubinadamu
Watu wanakufa
Sio lazima kuchangia mabaya na kashfa
Kama suala la vita Africa hilo ni suala lingine
Muwe na siku njema
 
Duh ukitazama aljazira utaona Israel ni washenzi tu , bora wafutwe kabisa huo upande uwe na amani.
 
Uko Sahihi

Utapendaje na kwenda msiba wa jambazi eti limefiwa na watoto wake wakati huohuo hilo jambazi limeteka watoto wako wawili.Hivi hata kwenye huo msiba wake unaendaje kwa mfano? Hata jambazi lenyewe mtu litakuona akili.huna na halitaamini kilio chako.kuwa cha dhati

Mtu ataliliaje watoto wa wapalestina wakati wakwetu wametekwa na wapalestina. Sisi watanzania tuna kesi na wapalestina waachiwe watu wawili Mollel na Mtenga
 
Hatujui Kama ndugu zetu watanzania ni wazima ama la yaan mtu ateke ndugu zetu then ataka huruma kwetu mbona wamarekani wameachiwa raia wao ingawa hawaonei huruma . Jambo la ajabu hili akili ya wapi hii wanaondaa maandamano hawana tofauti na wasaliti ingekuwa chini hawa wangenyongwa kabisa kwa kosa la usaliti wa nchi.
 
Duh ukitazama aljazira utaona Israel ni washenzi tu , bora wafutwe kabisa huo upande uwe na amani.
Nimesikiliza leo asubuhi Radio LBC ya London akihojiwa Professor of Security Sudies anasema Israel hawana nguvu na silaha ya kuifuta Hamas hata wauwe watu kiasi gani
Huyu ni mtaalamu wa masuala ya usalama
Ngoja usikie comments za wataalamu wetu sasa humu
 
Hatuna
 
Yaan wapumbavu wa kipalestine waanzishe uchokozi wakipigwa et tuandamane watu🤔tufunge balozi zetu we mvaa kobazi wakati watu wanatafuta maarifa we upo madrasa unakariri usiyoyaelewa ndo maana unakurupuka
 
Acha ujinga wewe. Uchokoz watafute wao halafu tuwatetee
 
Hatuna hela au uchumi wa kuwatetea wapalestina maana wanaompa kuti ndiyo wanaotupa kiti.
 
Woga na hofu ya kutengwa na.mataifa ya magharibi ndy inatusumbuwa.

Kwa kifupi NJAA MBAYA Sana..

Njaa inadhalilisha Sana utu wa mtu.
 
Hamas imeteka watazania wetu iwarudishe kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…