Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

Andamana wewe, hivyo vita viko huko nchi za watu sisi tuandamane ili iweje? Hapa Tanzania tu Wamasai walitolewa kimabavu toka kwenye makazi yao ya asili kupisha Waarab wafanye yao mbona hukutoa hii hoja ya kuamasisha Watanzania kuandamana?
 
Katika kipindi ambacho dunia yote na waarabu wenyewe wameungana na Israel ni hiki na sababu kuu ni namna Hamasi walivyotekeleza shambulio lao na kuua watu 1400 kuteka wengine na kuacha familia zikiwa na huzuni iliyopitiliza
Sasa Gaza imeenda na kwa Sasa ni new province ya Israel ambayo itakuwa na Mayor Jews, Governor Jews security officer wote watakuwa Jews na Kila siku wataishi nao ili kuwa sweep kabisa Hamas
Gaza is gone my friend!!!
 
Msimamo wetu unategemea TEC wanasemaje. Kuwa mpole kwanza ndugu.
 
Msimamo wetu unategemea TEC wanasemaje. Kuwa mpole kwanza ndugu.
tEC kama wanafuata mafundisho ya kikristo vyema basi watajiunga na wenzao wa Palestina kulaani mauaji yanayofanywa na mayahudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…