The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Dec 6, 2025 #1 GT Huyu ndo mzee pekee ambaye anaweza kusimama na kusikilizwa Lakini siyo hawa.
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,113 Reaction score 12,140 Dec 6, 2025 #2 Wazee wa Darisalama walikuwa wanapiga makofi tu. shenzi kabisa.
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,431 Reaction score 31,527 Dec 6, 2025 #3 Na mzee mama terry
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,558 Reaction score 64,966 Dec 6, 2025 #4 Kusimamia kweli ni gharama.
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,554 Dec 6, 2025 #5 Apewe ulinzi, mmoja wa pendekezo langu awepo kwenye serikali ya mpito itakayoundwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 6, 2025 #6 Kuna mambo yanafurahisha sana... Cc: Mahondaw