Putin lazima awajibike anavamia nchi huru na kuanza kuua raia wasio na hatia
Tanganyika sasa Tanzania ilivamia nchi huru ya uganda. Je waliwajibika?
Serikali haifanyi maamuzi kutokama na maandiko. Na si lazimajingalao - kuheshimu uhuru wa maamuzi ni jambo jema sana ila kumbuka put in ametuasa kama maandiko yalivyosema ni vema tukubali kuwa wamoto au wabaridi mana hata muuumba wetu haimpendezi kuwa vuguvugu
Nani alianza kuvamia mchi ya mwenzie?Tanganyika sasa Tanzania ilivamia nchi huru ya uganda. Je waliwajibika?
Nani alianza kuvamia mchi ya mwenzie?
In eyes of war tz iliji defend maana ilivamiwa kwanza
Thats where the enemy was. Else angerudi tena? So jeshi lingekaa adui arudi tena akiwa amejipanga?Baada ya kujidefend tulikua na uhuru wa kuingia uganda