Tanzania ina shida ya njaa kushinda Kenya..Its only the govt of Tz that lives in Denial...no given day have 200 people died of hunger in Kenya

Last month yenyewe nimesimamia tani 25000 za mahindi kwenda Kajiado, wawashukurus sana JPM na DFP.
 
Bado hujajua shida wanayopata ndugu zako, jifariji tu!
 
Sasa hiyo ni njaa au ni upungufu wa maji?
 
Tupe ushahidi siyo makaratasi. Sisi ushahidi tunao nyie mmebaki kulia kama ma manzi, so sad though millions are starving in Turkana which happens to be part and parcel of the so called middle economy country.
 
Izi takataka takwimu za vijiweni Tz walishapiga marufuku tangu mwaka juzi mwishoni.... Twaweza sio official statistica agecy so ubora au uhalisia wa data zao ni hovyoooo
 
Izi takataka takwimu za vijiweni Tz walishapiga marufuku tangu mwaka juzi mwishoni.... Twaweza sio official statistica agecy so ubora au uhalisia wa data zao ni hovyoooo
always in denial...sasa hzo takwimu za world bank zinazoaminika...zinasema more than 50% ya wabongo ni maskini...yani 30 million people...
 
Tupe ushahidi siyo makaratasi. Sisi ushahidi tunao nyie mmebaki kulia kama ma manzi, so sad though millions are starving in Turkana which happens to be part and parcel of the so called middle economy country.
unataka kusema turkana kuna mamillioni ya watu...heheeee.....rudi kijiweni ukaelezwe vizuri..labda aliyekupa hyo hadithi siku hyo hakuwa sober
 
always in denial...sasa hzo takwimu za world bank zinazoaminika...zinasema more than 50% ya wabongo ni maskini...yani 30 million people...

Tutashindana humu kwa takwimu za kupikwa hatutapata muafaka ..funga safar ukuje Tz tafuta mtz anaye kufa kwa njaa kama huku turkana sijui kama utapata lkn hapo kenya umaskini unaongoza kwa EAC na leo inajidhihirisha people die bcoz of hunger JAPO sio jambo la kulibeza wala kulipa Gumzo sababu uhai wa mtu unapotea buree kabisaa
 
unataja kenya watu wanakufa njaa alafu ukileta ushahidi...taarifa inasema hunger in turkana...

na umaskini kenya unaongeza...uko na uthibitisho...ama ni hayo maeneo ya jangwa watu wanpigwa na njaa kila mwaka....

je wale waliokula mafi..ni wa zimbabwe
 
Dona kantri, hata USA haiwezi toa msaada sehem tatu tofauti at once
duh...unawadharau watu wanawaosaidia kw aid...hta bajeti yenu wana iboost...hv leo imekuwa wao hawaez toa msaada kw nchi tatu...maskini..kuzaliwa tanzania lazima ukuww na dalili za kulemaa akili..lkn ukijikuta katika chama cha kijani...yani unakuwa taira kabisa...

hv leo hapa unathibitisha tanzania kw hyo sekta hta marekani hatoki...duh...
ni lugola kakupa hzo taarifa nn...
 
tuhishie tu hapo maana naona hatutafikia muafaka
 
Nimekubali njaa inaleta udumavu wa akili.... kwa hiyo Turkana is not in kenya??
 
Bado hujajua shida wanayopata ndugu zako, jifariji tu!
sasa si nynyi mnajisifia mko na chakula cha kutosha na maji pia...mbna chalinze watu wanywe maji pamoja na ng'ombe...chalinze si ni dar tu...

tukiwaambia dar is a slum huaga mnapinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…