Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Na Kenya itoe msaada pia!Tanzania Leo imetoa msaada wa chakula na dawa Zimbabwe, Mozambique na Malawi
Tanzania yatoa msaada wa chakula, dawa Malawi, Msumbiji na
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Kenya itoe msaada pia!Tanzania Leo imetoa msaada wa chakula na dawa Zimbabwe, Mozambique na Malawi
Tanzania yatoa msaada wa chakula, dawa Malawi, Msumbiji na
Last month yenyewe nimesimamia tani 25000 za mahindi kwenda Kajiado, wawashukurus sana JPM na DFP.kituo kinachofata ni turkana county na baringo county.
hatuwezi kukubari jirani zetu wanakufa kwa njaa ilhali sisi tuna chakula cha kutosha.
wakenya mjiandae kupewa msaada wa chakula toka tanzania.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 1049061
Dong Yi
mzee hapo chalinze tu watu wanakunywa maji bwawa moja na ng'ombe, au nenda handeni, nenda jimbo la mwigulu....
usihadithiwe, we nenda katazame!
Sent using Jamii Forums mobile app
Oii said:
Tukiwaambia ccm inajitahidi, mnabisha.
Nitafutie pctr kama hiyo ya kuanzia mwaka
msapere...ona watanzania wanaosema ukweli...
Dong Yi
mzee hapo chalinze tu watu wanakunywa maji bwawa moja na ng'ombe, au nenda handeni, nenda jimbo la mwigulu....
usihadithiwe, we nenda katazame!
Sent using Jamii Forums mobile app
Oii said:
Tukiwaambia ccm inajitahidi, mnabisha.
Nitafutie pctr kama hiyo ya kuanzia mwaka
msapere...ona watanzania wanaosema ukweli...
Izi takataka takwimu za vijiweni Tz walishapiga marufuku tangu mwaka juzi mwishoni.... Twaweza sio official statistica agecy so ubora au uhalisia wa data zao ni hovyooooSIKU NYINGINE WEKA KAMA HIVI USITUSUMBUE KUFUNGUA LINK...
DAR ES SALAAM, March 7 (Thomson Reuters Foundation) - Most Tanzanians have experienced hunger in the past three months, with food shortages most severe in drought-hit rural areas, a countrywide survey found, despite government denials of a food crisis.
The survey by Tanzanian think tank Twaweza found that 78 percent of people had suffered food shortages in the past three months. In rural areas the figure rose to 84 percent compared to 64 percent in cities.
The findings came despite repeated government denials that the East African country was suffering food shortages. President John Magufuli has accused opposition politicians of fomenting a “fake” hunger crisis.
The Twaweza survey said in a country where 80 percent of the population rely on subsistence farming, some families have begun skipping meals.
In February, 65 percent of respondents had worried about their families not having enough to eat in the previous seven days, compared to 45 percent last September.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwanza umekula leo
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
😁😁😁😁
Sasa hiyo ni njaa au ni upungufu wa maji?
always in denial...sasa hzo takwimu za world bank zinazoaminika...zinasema more than 50% ya wabongo ni maskini...yani 30 million people...Izi takataka takwimu za vijiweni Tz walishapiga marufuku tangu mwaka juzi mwishoni.... Twaweza sio official statistica agecy so ubora au uhalisia wa data zao ni hovyoooo
unataka kusema turkana kuna mamillioni ya watu...heheeee.....rudi kijiweni ukaelezwe vizuri..labda aliyekupa hyo hadithi siku hyo hakuwa soberTupe ushahidi siyo makaratasi. Sisi ushahidi tunao nyie mmebaki kulia kama ma manzi, so sad though millions are starving in Turkana which happens to be part and parcel of the so called middle economy country.
Bado hujajua shida wanayopata ndugu zako, jifariji tu!
always in denial...sasa hzo takwimu za world bank zinazoaminika...zinasema more than 50% ya wabongo ni maskini...yani 30 million people...
sasa chenye umeandika ni nn haswa...hemu nenda kasaidie wenzako hko bukoba...manake raisi kesha wambia wakalime waache uzembe....
😀😀 kk , USAID wana fadhili nchibnyingi at once ..Dona kantri, hata USA haiwezi toa msaada sehem tatu tofauti at once
unataja kenya watu wanakufa njaa alafu ukileta ushahidi...taarifa inasema hunger in turkana...Tutashindana humu kwa takwimu za kupikwa hatutapata muafaka ..funga safar ukuje Tz tafuta mtz anaye kufa kwa njaa kama huku turkana sijui kama utapata lkn hapo kenya umaskini unaongoza kwa EAC na leo inajidhihirisha people die bcoz of hunger JAPO sio jambo la kulibeza wala kulipa Gumzo sababu uhai wa mtu unapotea buree kabisaa
duh...unawadharau watu wanawaosaidia kw aid...hta bajeti yenu wana iboost...hv leo imekuwa wao hawaez toa msaada kw nchi tatu...maskini..kuzaliwa tanzania lazima ukuww na dalili za kulemaa akili..lkn ukijikuta katika chama cha kijani...yani unakuwa taira kabisa...Dona kantri, hata USA haiwezi toa msaada sehem tatu tofauti at once
unataja kenya watu wanakufa njaa alafu ukileta ushahidi...taarifa inasema hunger in turkana...
na umaskini kenya unaongeza...uko na uthibitisho...ama ni hayo maeneo ya jangwa watu wanpigwa na njaa kila mwaka....
je wale waliokula mafi..ni wa zimbabwe
unataja kenya watu wanakufa njaa alafu ukileta ushahidi...taarifa inasema hunger in turkana...
na umaskini kenya unaongeza...uko na uthibitisho...ama ni hayo maeneo ya jangwa watu wanpigwa na njaa kila mwaka....
je wale waliokula mafi..ni wa zimbabwe
sasa si nynyi mnajisifia mko na chakula cha kutosha na maji pia...mbna chalinze watu wanywe maji pamoja na ng'ombe...chalinze si ni dar tu...Bado hujajua shida wanayopata ndugu zako, jifariji tu!