Tanzania ina shida ya njaa kushinda Kenya..Its only the govt of Tz that lives in Denial...no given day have 200 people died of hunger in Kenya

Tanzania ina shida ya njaa kushinda Kenya..Its only the govt of Tz that lives in Denial...no given day have 200 people died of hunger in Kenya

Ahaaa haaaa Kenya is Nairobi but
Tanzania is Turkana
 
Ahaaa haaaa Kenya is Nairobi but
Tanzania is Turkana

duh...umeshachanganyikiwa tayari...hahaaaa...
jibu swali..kenya ni turkana?ujue huongei na vijana wa lipumba...mi najielewa...siez danganyika kw wali
 
Ahaaa haaaa Kenya is Nairobi but
Tanzania is Turkana

duh...umeshachanganyikiwa tayari...hahaaaa...
jibu swali..kenya ni turkana?ujue huongea vijana wa lipumba...mi najielewa...suez danganyika kw wali
 
duh...umeshachanganyikiwa tayari...hahaaaa...
jibu swali..kenya ni turkana?ujue huongei na vijana wa lipumba...mi najielewa...siez danganyika kw wali

Unatumia internet ya kuunga unga.
Nimekuambiaje Kenya ni Nairobi ila Tanzania ni Turkana. Nini usichoelewa?? Nimeamini kweli the hungry man is agry man. na uelewa unapotea kabisa. Kwa hiyo wakisema Nchi ya Kenya ina Njaa kwa Sababu Turkana watu wakufa njaa, ni makosa?? huh!!?
 
mbna unaruka ruka...kenya ni turkana au turkana ndio kenya...yani kucheza na akili za mtanzania rahisi...yani hata hako tough katika mjadala...anachange change gear tu...

hta heri kijana wa class 8 wa kenya nitaogopa kufanya naye mjadala...kisa wako tough na ako na uwezo wa kukuumbua
 
eti kisha kisha jitu zima linasema nimekuambia kenya ni nairobi na tanzania ni turkana...sisi hku hatubiagwi kijingajinga...yani wewe ukiambiwa unashika tu...ndio manake hzi habari za kenya mnaziskia vijiweni...
 
we nenda salama tu baba

you have only six months on JF but it seems you are so rude , much know , unazungumza tu vitu usivyo vijua hata iyo Tz huijui vizuri usikute pia hujawahi fika unasoma tu ktk internet na magazeti......listen it is better to stay quite
 
Acheni ujinga nyie TZ hakuna njaa chakula bwelele,msimu uliopita tulizalisha chakula kingi mpaka mchele umekatazwa kuagizwa nje ya nchi.Mahindi ndio usiseme ni mengi mpaka bei imekuwa chini wakulima wakawa wanalalamika.
Nyie pambaneni na hali yenu tuu
 
SIKU NYINGINE WEKA KAMA HIVI USITUSUMBUE KUFUNGUA LINK...

DAR ES SALAAM, March 7 (Thomson Reuters Foundation) - Most Tanzanians have experienced hunger in the past three months, with food shortages most severe in drought-hit rural areas, a countrywide survey found, despite government denials of a food crisis.
The survey by Tanzanian think tank Twaweza found that 78 percent of people had suffered food shortages in the past three months. In rural areas the figure rose to 84 percent compared to 64 percent in cities.
The findings came despite repeated government denials that the East African country was suffering food shortages. President John Magufuli has accused opposition politicians of fomenting a “fake” hunger crisis.
The Twaweza survey said in a country where 80 percent of the population rely on subsistence farming, some families have begun skipping meals.
In February, 65 percent of respondents had worried about their families not having enough to eat in the previous seven days, compared to 45 percent last September.

Sent using Jamii Forums mobile app
halafu hii takwimu ya 80% of tz rely on subsistence farming, nayo ina walakini, ni data muda mrefu mno, toka niko primary hadi leo nishamaliza na chuo kitambo tu, kuna haja ya kufanyia utafiti hiyo takwimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
you have only six months on JF but it seems you are so rude , much know , unazungumza tu vitu usivyo vijua hata iyo Tz huijui vizuri usikute pia hujawahi fika unasoma tu ktk internet na magazeti......listen it is better to stay quite
heheee...nipo jf miez sita kw account ya komora...ila nilikuwa humu kitambo sana...
alafu kuhusu kuijua mitandaoni na magazeti si ni bra kuliko vijiweni...

si juzi tu kagera watu walipigwa na njaa...serikali ikatulia...hivi sasa eti mumetoa msaada pande za south...kiki hazitafutwi kihivo...yani kwako watu walime..wakilalamika ya kwamba maisha ni magumu...mnawwita majina ya ajabu....mara nyumbu,wapiga madili wakati wanaongea ukwel....sifa za kijinga wacheni...

movie ya koroshow imebuma
ndege ziko parking
reli mturuki anawakeketa......
 
Hivi hii mambo ya njaa inawasumbua sana wakenya hadi watafute hadithi gushi za tanzania mradi wajifariji na wafute soni..
Hii aibu Mi jubilee hamkwepi, pelekeni chakula kwa walio na njaa, hadithi nyingi muwache
Nafikiri bado hawajawatumia au hawajajipanga vizuri na wale wataalamu waliopelekwa israel,ilikuwa ni idadi inayotosha kufafanya mabadiliko makubwa nchini Kenya.let"s hope big chages in near future!!!!God bless E.Africa!
 
Acheni ujinga nyie TZ hakuna njaa chakula bwelele,msimu uliopita tulizalisha chakula kingi mpaka mchele umekatazwa kuagizwa nje ya nchi.Mahindi ndio usiseme ni mengi mpaka bei imekuwa chini wakulima wakawa wanalalamika.
Nyie pambaneni na hali yenu tuu
vp kagera..walipewa hta kilo kumi kumi za unga
 
Is this a joke or something??? Imagine a country that its citizens go hungry selling thousands of tons to WFP to ease refugees hunger, A country that has so much maize that the govt cannot buy, A country that has given food aid to our southern brothers and sisters, a country that has very low inflation rate, a country that some of the farmers are threatening to farm next year due to low markets.
Stupid propaganda does not help brothers and sisters.
We may be a lot of other things but hunger is absolutely not one of them.
 
halafu hii takwimu ya 80% of tz rely on subsistence farming, nayo ina walakini, ni data muda mrefu mno, toka niko primary hadi leo nishamaliza na chuo kitambo tu, kuna haja ya kufanyia utafiti hiyo takwimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ulisha fanyika utafiti upya mkuu.. report ilionyesha ni less than 70% sikumbuki exact number. Shughuli za kiuchumi zimeongezeka na rural urban migration imechangia kupunguza hiyo number.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
heheee...nipo jf miez sita kw account ya komora...ila nilikuwa humu kitambo sana...
alafu kuhusu kuijua mitandaoni na magazeti si ni bra kuliko vijiweni...

si juzi tu kagera watu walipigwa na njaa...serikali ikatulia...hivi sasa eti mumetoa msaada pande za south...kiki hazitafutwi kihivo...yani kwako watu walime..wakilalamika ya kwamba maisha ni magumu...mnawwita majina ya ajabu....mara nyumbu,wapiga madili wakati wanaongea ukwel....sifa za kijinga wacheni...

movie ya koroshow imebuma
ndege ziko parking
reli mturuki anawakeketa......
Sasa we inakuuma Tz kutoa msaada kwa wahanga wa maafa ya kimbunga ? Mbona setikali ya kenya mwanzo ilibisha kwamba turkana hamna shida ya chakula mpaka mlipoona tension inakuwa kubwa na byombo vya kimataifa vya habari kuanza kuripoti then ndionwamarwa akaagizwa aende turkana. We manzi vp lkn
 
mi siez umwa na upumbavu wa jirani...yani unaacha watoto wako nyumbani njaa unaenda kusaidia watoto wa hawara wako....safisha kwanza home ndio utoe nje...

anyway..hzo ndizo agenda za jiwe simlaumu...anafungia vituo vya habari hku yeye anapenda kuwekwa front page....sasa kiki ni ajenda yake kuu hyo
 
Kuna uzi unaongelewa pale jukwaa la siasa tz kuwa donor country, hapo nimesoma comments na watanzania wanakiri wana njaa hata afadhali msaada huo ungepelekwa pande za mara na bukoba.
 
Back
Top Bottom