Tanzania ina upungufu wa Madaktari wa kike?

Satisfier

Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
54
Reaction score
78
Wadau,

Natumaini hamjambo.
Nina mdogo wangu wa kike nilimpeleka hospitali moja ya wanawake, lakini madaktari wengi niliokuta ni wa kiume.

Picha hii haikuwa ngeni kwangu kwani niliwahi kupeleka mchango wa vifaa vya hospitali k
v. vitanda mimi pamoja na wafanyakaza wenzangu, lakini idara za wanawake madaktari waliotupokea ni wa kiume.

Kwahiyo si ajabu Nchi ina upungufu wa madaktari wa kike ila ni ishu ambayo haijawa noticed.

Maoni yenu tafadhari.
 
Tanzania haina upungufu wa madaktari wa kike, TANZANIA INA UPUNGUFU WA MADAKTARI WOTE
SIO WA KIKE WALA WA KIUME
 
kwan ukienda idara inayoshughulika na mambo ya wanawake unataka ukute ma dr wa kike sio lazma

anyway tz bado kwa madaktari wote kiume na kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…