Tanzania Ina upungufu wa umeme, lakini tunakwenda kujenga power plant ya 20 megawatts Uganda

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,433
Reaction score
2,791
Hii ni kitu gani?

1691870740117.png
---

I met Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir and his delegation from Tanzania. We discussed future cooperation in the area of Energy, especially the power line from Mutukula to Mwanza, which will boost supply on that stretch, leading to the development for both Uganda and Tanzania.

I also okayed the proposal from the delegates to go ahead and develop a solar generation plant of 20 Megawatts in Nwoya district, near Olwiyo substation. This electricity will be evacuated onto the main grid and there we shall no longer have issues of electricity in that area.

1691870565413.png
 
Hii ni kitu gan
Huwezi kulazimisha mfanyabiashara afanye biashara yake unavyotaka wewe. Kama nchi imeshindwa kumtumia huyo mwekezaji mzawa wamuache akawekeze anakoona atapata faida.
BTW huyu mwekezaji anafikirisha! Lazima kuna aliye nyuma ya hilo dili.
 
Umemalizia vzr, huyo mfanyabiashara anafikirisha na ndy target ya uzi
 
Hii ni kitu gani?

---

I met Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir and his delegation from Tanzania. We discussed future cooperation in the area of Energy, especially the power line from Mutukula to Mwanza, which will boost supply on that stretch, leading to the development for both Uganda and Tanzania.

I also okayed the proposal from the delegates to go ahead and develop a solar generation plant of 20 Megawatts in Nwoya district, near Olwiyo substation. This electricity will be evacuated onto the main grid and there we shall no longer have issues of electricity in that area.

Ulivyo huna akili!

Iyo project ni ya serikali ya Tanzania au ya mtu binafsi? Unampangia mwekezaji akawekeze wapi?

Faida utampa wewe?
 
Anaweza kuwa na kampuni inayoshughulika na kuzalisha na kuuza umeme.
Kampuni hiyo inaweza kutafuta masoko (miradi) ndani na nje ya Tanzania. Kama amekubaliana na Rais Museveni kwa mradi wa solar, anastahili pongezi.
 
Watu wanasuka mtandao mapemaa, JNHPP ikiwashwa tu basi utasikia kuna middle man ananunua umeme TANESCO na kuuza nchi za jirani.

Atapewa jina zuri la 'mwekezaji' ambaye anaisaidia TANESCO kuongeza 'ufanisi'.
 
Yasnii dots zinajiunga vizuriii sana ....uzoefu kulusha Grid ya Uganda sasa anakuwa middle man kuwauzia umeme wa Tanesco kutoka Kyaka bei poa ...kuliko bei za ndani.....shamba la bibi Sekta nishati inachezewa sana .....mmuuza matairi ghafla anatoa silution za nishati.....unga dots ....zbar ame partner na Ankal RA kuwauzia umeme solar kwenye Grid pia ...mmmm sawaa muda ni mwalim mkuu...asante technolojia ....
 
Madhara ya muungano yanazidi kujidhihilisha.ni kosa kubwa sana mhamiaji kuongoza nchi ambayo siyo yake.tutaona mengi lakini ipo siku huu uchafu utasagishwa na wanaochafua aibu itakuwa kwao
 
Back
Top Bottom