Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Huyu Mr Abdul Halim ni nani kwenye sekta ya nishati hapa nchini tujue kwanza!Hii ni kitu gan
Huwezi kulazimisha mfanyabiashara afanye biashara yake unavyotaka wewe. Kama nchi imeshindwa kumtumia huyo mwekezaji mzawa wamuache akawekeze anakoona atapata faida.Hii ni kitu gan
Ni mtt wa bi mkubwa huyoHuyu Mr Abdul Halim ni nani kwenye sekta ya nishati hapa nchini tujue kwanza!
Hilo jina lake la mwisho mbona kama mtoto wa bi'mkubwa? Enewei !
Umemalizia vzr, huyo mfanyabiashara anafikirisha na ndy target ya uziHuwezi kulazimisha mfanyabiashara afanye biashara yake unavyotaka wewe. Kama nchi imeshindwa kumtumia huyo mwekezaji mzawa wamuache akawekeze anakoona atapata faida.
BTW huyu mwekezaji anafikirisha! Lazima kuna aliye nyuma ya hilo dili.
Ulivyo huna akili!Hii ni kitu gani?
---
I met Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir and his delegation from Tanzania. We discussed future cooperation in the area of Energy, especially the power line from Mutukula to Mwanza, which will boost supply on that stretch, leading to the development for both Uganda and Tanzania.
I also okayed the proposal from the delegates to go ahead and develop a solar generation plant of 20 Megawatts in Nwoya district, near Olwiyo substation. This electricity will be evacuated onto the main grid and there we shall no longer have issues of electricity in that area.
Yasnii dots zinajiunga vizuriii sana ....uzoefu kulusha Grid ya Uganda sasa anakuwa middle man kuwauzia umeme wa Tanesco kutoka Kyaka bei poa ...kuliko bei za ndani.....shamba la bibi Sekta nishati inachezewa sana .....mmuuza matairi ghafla anatoa silution za nishati.....unga dots ....zbar ame partner na Ankal RA kuwauzia umeme solar kwenye Grid pia ...mmmm sawaa muda ni mwalim mkuu...asante technolojia ....Watu wanasuka mtandao mapemaa, JNHPP ikiwashwa tu basi utasikia kuna middle man ananunua umeme TANESCO na kuuza nchi za jirani.
Atapewa jina zuri la 'mwekezaji' ambaye anaisaidia TANESCO kuongeza 'ufanisi'.