Wewe kumbafu...watu wamepoteza Mali zao halafu unasema yalikuwa peacefully? Hujaona watu wameibiwa mitungi ya gesi, pikipiki .wamechomewa magari yao ulitaka mpaka waanze kibaka wake zetu na watoto wetu majumbani ndo ufurahi?Wabongo ni watu "Reasonable" sana.
Maandamano ya tarehe 29 walikuwa wanayafanya peacefully, tukiachana na kuchoma na kuharibu mali mbalimbali zilizokuwa zinasemekana ni za mafisadi.
Tofauti na hapo, hakuna mali za wajasiriamali wa kawaida zilizoharibiwa! Hata kama zipo basi siyo kwa kiasi hicho!
Sasa walichokifanya polisi ni kosa moja kubwa la kimkakati kwa sababu next time yakitokea maandamano watu hawatakuwa na muda na kuharibu mali za mafisadi, bali wataconcentrate na kujilinda, watatoka na mood ya vita.
Polisi walikuwa wapi kuwalinda waandamanaji?Wewe kumbafu...watu wamepoteza Mali zao halafu unasema yalikuwa peacefully? Hujaona watu wameibiwa mitungi ya gesi, pikipiki .wamechomewa magari yao ulitaka mpaka waanze kibaka wake zetu na watoto wetu majumbani ndo ufurahi?
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu . Viongozi wote wa CCM ni maharamiaMatukio Kabla, wakati na baada ya uchaguzi, yamethibitisha kuwa Tanzania ina watawala katili kuliko nchi yoyote Duniani. Matukio haya yamethibitisha kuwa CCM ni chama cha hovyo na cha kiharamia kuliko vyama vyote Duniani. Polisi wa Tanzania wamedhihirisha kuwa ni wanyama kuliko jeshi lolote Duniani.
Watawala wa Tanzania, CCM kwa kushirikiana na polisi wameua idadi kubwa ya Watanzania kuliko hata idadi ya watu wanaouawa kwenye nchi zilizo vitani. Huko Israel, pamoja na ukweli kuwa jeshi la Israel limekuwa likitumia silaha nzito na za kisasa, halijawahi kuwaua wapalestina zaidi ya 100 kwa siku moja. Watawala wa Tanzania ndani ya siku 2 wamewaua Watanzania zaidi ya 2,000!
Huko Ukraine, Russia inatumia ballistic na supersonic misiles na drones za kisasa, lakini haijawahi kuua zaidi ya raia 60 kwa siku 1, watawala wa Tanzania waliwaua watanzania zaidi ya 1,000 kwa siku moja. Fikiria Ukraine na Russia ni mataifa adui, hawana uchungu na adui zao, ambao ni wa Taifa jingine, lakini bado wanakuwa na woga wa kuua raia hovyo, lakini watawala wa Tanzania wanawaua bila woga wala huruma watanzania wenzao!
Fikiria Urusi na Ukraine, pamoja na uhasama wao, mateka wa kila upande wanatunzwa, miili ya askari waliokufa vitani inatunzwa, na kila wakati wanabadilishana mateka na miili ya waliokufa vitani, lakini watawala wa Tanzania wanawaua watanzania, na miili yao hao waliouawa ndugu zao hawapewi, inaenda kutupwa kusikojulikana.
Hata wayahudi na wapalestina, pamoja na uhasama wao mkubwa, bado wameweza kubadilishana mateka na miili ya marehemu, LAKINI watawala wa Tanzania wanawaua wanaowateka na kuitupa miili yao kusikojulikana.
Hii inadhihirisha kuwa katika kiwango cha uovu, watawala wa Tanzania wamedhihirisha kuwa wao ni zaidi ya waovu na maharamia wote Duniani, wamekosa ubinadamu, utu na huruma.
Ulivyo ***** SASA....ulitoa taarifa polisi kwamba utaandamana? Si mlishtukiza? Mmekutana na mkono wa dola mnalalama .Polisi walikuwa wapi kuwalinda waandamanaji?
Hiyo ndiyo kazi ya polisi, yanapotokea maandamano wanapaswa kuwepo kulinda usalama wa raia na mali zao, kama walivyokuwa wanafanya jeshi!
Makatili af hawana akiliMatukio Kabla, wakati na baada ya uchaguzi, yamethibitisha kuwa Tanzania ina watawala katili kuliko nchi yoyote Duniani. Matukio haya yamethibitisha kuwa CCM ni chama cha hovyo na cha kiharamia kuliko vyama vyote Duniani. Polisi wa Tanzania wamedhihirisha kuwa ni wanyama kuliko jeshi lolote Duniani.
Watawala wa Tanzania, CCM kwa kushirikiana na polisi wameua idadi kubwa ya Watanzania kuliko hata idadi ya watu wanaouawa kwenye nchi zilizo vitani. Huko Israel, pamoja na ukweli kuwa jeshi la Israel limekuwa likitumia silaha nzito na za kisasa, halijawahi kuwaua wapalestina zaidi ya 100 kwa siku moja. Watawala wa Tanzania ndani ya siku 2 wamewaua Watanzania zaidi ya 2,000!
Huko Ukraine, Russia inatumia ballistic na supersonic misiles na drones za kisasa, lakini haijawahi kuua zaidi ya raia 60 kwa siku 1, watawala wa Tanzania waliwaua watanzania zaidi ya 1,000 kwa siku moja. Fikiria Ukraine na Russia ni mataifa adui, hawana uchungu na adui zao, ambao ni wa Taifa jingine, lakini bado wanakuwa na woga wa kuua raia hovyo, lakini watawala wa Tanzania wanawaua bila woga wala huruma watanzania wenzao!
Fikiria Urusi na Ukraine, pamoja na uhasama wao, mateka wa kila upande wanatunzwa, miili ya askari waliokufa vitani inatunzwa, na kila wakati wanabadilishana mateka na miili ya waliokufa vitani, lakini watawala wa Tanzania wanawaua watanzania, na miili yao hao waliouawa ndugu zao hawapewi, inaenda kutupwa kusikojulikana.
Hata wayahudi na wapalestina, pamoja na uhasama wao mkubwa, bado wameweza kubadilishana mateka na miili ya marehemu, LAKINI watawala wa Tanzania wanawaua wanaowateka na kuitupa miili yao kusikojulikana.
Hii inadhihirisha kuwa katika kiwango cha uovu, watawala wa Tanzania wamedhihirisha kuwa wao ni zaidi ya waovu na maharamia wote Duniani, wamekosa ubinadamu, utu na huruma.
Hakuna alolalama mkuu.Ulivyo ***** SASA....ulitoa taarifa polisi kwamba utaandamana? Si mlishtukiza? Mmekutana na mkono wa dola mnalalama .
Bila hivyo huwezi kuwa na serikali imara na amani na utulivu,watu sharti wajue serikali ina maguvu kiasi gani Ili wakae kwenye msitariMatukio Kabla, wakati na baada ya uchaguzi, yamethibitisha kuwa Tanzania ina watawala katili kuliko nchi yoyote Duniani. Matukio haya yamethibitisha kuwa CCM ni chama cha hovyo na cha kiharamia kuliko vyama vyote Duniani. Polisi wa Tanzania wamedhihirisha kuwa ni wanyama kuliko jeshi lolote Duniani.