Tanzania ina watu wema sana

Tanzania ina watu wema sana

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Kwakweli hii ni ardhi ya watu wema sana, vigezo vya uwekezaji kwa wageni ni rafiki sana, kuna muda wa kutosha wa kufanya majaribio ya biashara mpya bila kulipa kodi.

Nawaomba mpunguze mlolongo kipindi cha usajili wa biashara, vinginevyo nawaalika wawekezaji wengine toka uarabuni, uzunguni na uchina waje hapa tuchume pamoja na kutoa fursa kwa ndugu zetu Watanzania.
 
Back
Top Bottom