Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 674
- 691
Wengini tunakiona chama kilicho bora na chenye uelekeo .msiioona shauri yenu. Kama mipango ya kuviuwa vilivyopo ilifanywa kwa juhudi na gharama kubwa vilivyoyumba viliyumba Vibaya, na vilivyo weza nusurika viliimarika sana. Pia nategemea vieendelee kupata uimara katika enzi hizi mpya tulizo nazo.Ndugu Wana jamvi nimetafakari sana hatma ya nchi yetu endapo CCM itashindwa kusimamia majukumu yake hususani rasilimali za nchi yetu,hii ni kutokana na ukweli kwamba vyama vya upinzani naona havina sera ya ulinzi wa rasilimali wala havijali kabisa...
Watu mithili hii waweza kuwa nndio laana kwa taifaChadema imegeuka laana kwa nchi yetu
Ni kweli katiba mpya ni muhimu, maana Watanzania tunahitaji kuwa na uhakika wa ulinzi wa rasilimali au maamuzi mengine makubwa lazima mamlaka ya rais yadhibitiwe.Hivi unakumbuka Dr Slaa alivyokuwa Chadema mlivyokuwa mnambeza? Leo kageuka nguli.
Tanzania haiitaji chama chochote kipya cha upinzani unasikia wewe? Tanzania inahitaji katiba mpya itakayofanya CCM wasibebwe na Tume wala Spika (wa bunge la vyama vingi) asiwe katibu mwenezi wa ccm na mvunja katiba.
Rasilimali zote ziuzwe ili pesa iwepo mtaani. Vilasilimali vya Nini wakati tunakufa njaa. Bora viuzwe vyote tupate hela.Ndugu Wana jamvi nimetafakari sana hatma ya nchi yetu endapo CCM itashindwa kusimamia majukumu yake hususani rasilimali za nchi yetu,hii ni kutokana na ukweli kwamba vyama vya upinzani naona havina sera ya ulinzi wa rasilimali wala havijali kabisa.
Aidha sababu nyingine ni kwamba vyama vyetu vya upinzani ni dhaifu mno na havina maono toka aondoke nguli wa siasa na mzalendo wa kweli Dkt. W. Slaa vyama hivi havijawahi kuwa na agenda tena.Vyama hivi vimekisa dira na mbaya zaidi vyama hivi havina agenda ya ulinzi wa rasilimali za nchi yetu.
Wapinzani wamekuwa wakibeza ulinzi wa rasilimali zetu na wanaonekana wazi kuwa kwao ulinzi wa rasilimali za Taifa siyo kipaumbele,tunahitaji na tunaomba wanasiasa wa nchi hii mlete chama mbadala wa CCM na kiwe Cha kizalendo Kama kile cha EFF Cha Julius Malema huko Afrika Kusini.
Tusipofanya hivi Kama Taifa ipo siku tutajikuta katika mtanziko mkubwa tusijue pa kwenda.
Nawatakia tafakuri njema
Yaani nyinyi wasukuma chawa wa mwendazake hamuwezi kuleta hoja za maana hapa?Ndugu Wana jamvi nimetafakari sana hatma ya nchi yetu endapo CCM itashindwa kusimamia majukumu yake hususani rasilimali za nchi yetu,hii ni kutokana na ukweli kwamba vyama vya upinzani naona havina sera ya ulinzi wa rasilimali wala havijali kabisa.
Aidha sababu nyingine ni kwamba vyama vyetu vya upinzani ni dhaifu mno na havina maono toka aondoke nguli wa siasa na mzalendo wa kweli Dkt. W. Slaa vyama hivi havijawahi kuwa na agenda tena.Vyama hivi vimekisa dira na mbaya zaidi vyama hivi havina agenda ya ulinzi wa rasilimali za nchi yetu.
Wapinzani wamekuwa wakibeza ulinzi wa rasilimali zetu na wanaonekana wazi kuwa kwao ulinzi wa rasilimali za Taifa siyo kipaumbele,tunahitaji na tunaomba wanasiasa wa nchi hii mlete chama mbadala wa CCM na kiwe Cha kizalendo Kama kile cha EFF Cha Julius Malema huko Afrika Kusini.
Tusipofanya hivi Kama Taifa ipo siku tutajikuta katika mtanziko mkubwa tusijue pa kwenda.
Nawatakia tafakuri njema
Aliyelaaniwa ni yule aliyekuwa anatumia mali za watanzania kuua Chadema na upinzani.Chadema imegeuka laana kwa nchi yetu
Unafiki tu unakusumbua. Mbona wakati Magufuli anatumia vibaya madaraka ya raisi hukusema? Mbona ulinyamaza?Ni kweli katiba mpya ni muhimu, maana Watanzania tunahitaji kuwa na uhakika wa ulinzi wa rasilimali au maamuzi mengine makubwa lazima mamlaka ya rais yadhibitiwe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mnyamazisho ulikuwa wa kiwango cha sgrUnafiki tu unakusumbua. Mbona wakati Magufuli anatumia vibaya madaraka ya raisi hukusema? Mbona ulinyamaza?
Sio kundi la waliokwamia away iliyopita.Kundi la mhuni mbowe na mbelgiji mwamepoteana mbaya
Ndiyo maana alikufa kabla ya lengo lake baya kutimiaAliyelaaniwa ni yule aliyekuwa anatumia mali za watanzania kuua Chadema na upinzani.
Aliyelaaniwa ni yule aliyekuwa anatumia mali za watanzania kununua wapinzania kutoka Chadema kuwaleta CCM!
Yani umeniwai nlikuwa nimpe jibu kama hiliAnzisha cha kwako
Mpuuzi huyo atatupotezea mudaYani umeniwai nlikuwa nimpe jibu kama hili