Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Hajawahi, na sina hakika kama atakuja kutokea prezdenga wa ovyo na wa ajabu na alieiaibisha nchi kama ze mani himself stone in da land.Huenda tukawa na Raisi wa hovyo Zaid kuwahi kutokea baada ya mwendazake ngoja tuone
Nayajua kuliko uyajuayo 'Swine' Wewe.Una ushahidi kuwa anamsikiliza Kikwete? Umenasa mawasiliano yao yoyote au unapiga ramli tu?
Hahahaa kuwajua haisaidii, kama unawajua sasa si ungebaki kimya tu? Why ulete mjadala hapa tena kumbe unawajua? Halafu haya makasiriko yanatoka wapi hadi kuniita hivyo? Kazi iendelee, twende kaziNawajua kuliko uyajuayo 'Swine' Wewe.
Tafadhali acheni Kuuficha Udhaifu wa Mama ( Rais ) kwa Gharama ya kulisema 24/7 Kundi la SUKUMA GANG kwani mtakuwa ( tutakuwa ) hatumsaidii Mama ( Rais )Lazima aondoe sukuma gang wote serikalini otherwise watamkwamisha.
Mtaanza sasa Kutulazimisha kuamini kuwa Watu wa Jinsia fulani si ' Competent ' kwa nafasi ya ' Head of State ' na akina GENTAMYCINE tukiamini hivyo msituchukie au msianze ' Kutubatiza ' Jina lenu la SUKUMA GANG mkimaanisha ni Wapinzani ' Tukuka ' wa Utawala huu wa Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan.
Tanzania ya sasa inahitaji Rais ambaye haishii tu kuwa Mchapakazi bali pia mwenye uwezo wa Kufuatilia Jambo, Kusoma sana, Kujiridhisha na kuwa na Timu ya Wasaidizi ( Washauri ) wenye Akili hasa na siyo Wapumbavu wenye ' Uchawa ' mwingi.
Kibinadamu Tukio moja linasameheka kwani hata Mimi GENTAMYCINE na hata Wewe ' Member ' pia huwa tunakosea ila Mtu huyo huyo akilirudia tena Tukio ( Kosa ) hilo hilo anaanza kututia Mashaka na kuanza kutupa Mtihani mzito wa Kumjibia kutoka kwa wale wasiomkubali.
Nina mengi Moyoni na Rohoni ila kabla tu Hasira zangu hazijanipanda zaidi kwa Upuuzi unaoanza Kuzoeleka natoa Ushauri wa bure kwa wale Watanzania ambao watagombea Urais miaka ijayo GENTAMYCINE nawaombeni teueni Makamu wa Rais Vijana ( Damu Changa ) na pia wawe ' very intelligent ' ili hata ikitokea Mmekufa ( Mmefariki ) watakaotwaa Madaraka ' Kikatiba ' wawe ni Watu ambao hawatotupa Mashaka Mashaka katika Kuwaamini kama ninavyoanza kupata Mashaka hayo sasa.
Najua kwa Uzi huu leo nami nitabatizwa kuwa natokea SUKUMA GANG hivyo nikiitwa hivyo kwa kusema huu Ukweli wangu nitalipokea hilo Jina ila pamoja na kwamba Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa na ' Mapungufu ' yake ila nilikuwa nikimpenda zaidi katika tabia yake ya kupenda Kujiridhisha, Kudadisi, Kufuatilia Jambo na kufanya Maamuzi ya uhakika ambayo huenda yakachelewa ila hayatotupa Mashaka na kuanza Kutusababishia tuwe na Maswali mengi.
Mlio karibu na Mheshimiwa Rais nanyi pia ni sehemu ya tatizo kwani hamumsaidii hadi Mama kila mara anatoa ' Maboko ' yake tu ya ' Kuteua Kutengua ' au yawezekana pia mkawa katika Mpango ' Maalum ' wa Kumpigisha Shoti ( Kumuhujumu Mama ) ili aharibikiwe na achekwe Yeye na tuchekwe pia Sisi wana CCM wote.
Mwisho namalizia kwa Mama ( Mheshimiwa Rais ) hebu punguza sana kuwa karibu kwa 99% na Rais Mstaafu Kikwete ( hasa Kiushauri ) kwani Kitendo hiki ' Kinawakera ' baadhi ya Watendaji wako ( tena Waandamizi kabisa ) na usipokuwa nacho makini kitakuja Kukugharimu na utakuja Kunikumbuka GENTAMYCINE niliyenyimwa Utajiri na Nguvu ila niliyepewa Fikra na Maono na Mwenyezi Mungu.
Sisemi usimsikilize Mzee Kikwete bali acha Kumfanya ndiyo kila Kitu Kwako Kiushauri bali Shirikisho pia na Watu ( Wastaafu ) wengine lakini pia Waamini na hao Watendaji wako ulionao sasa Serikalini kwani huenda na Wao wakawa na Mawazo Cbanya Kwako Kimaendeleo na Kiuongozi hata kuliko hayo unayoyapata kwa Mzee Kikwete.
Hii ' Teua Tengua ' iwe mwisho Mama!!!!
Nitolee hapa huu Ubongo wako wa Inzi.Unaonekana una hoja muhimu lkn unapayapaya mwisho una haribu. Una ushahidi gani kuwa Mheshimiwa Rais anamtegemea Mzee Kikwete katika maamuzi yake? Una uhakika gani Mheshimiwa hapewi ushauri wa kurosha na wasaidizi wake? Ni mapema sana kuelekeza tuhuma nzito kwa Mheshimiwa Rais. Sisi wengine tunamuamini na tunamuona kuwa yupo kwenye right truck. Kama nawe upo kwenye"... gang ulilolitaja, tulia dozi ikuingie vizuri".
Nashawishika pia kuanza Kulikubali hili.2025 wapinzani watamshinda, mark my words.
Mkuu,Mh. Rais SSH ni bora mara 1.5 tirioni ya Jiwe.Huenda tukawa na Raisi wa hovyo Zaid kuwahi kutokea baada ya mwendazake ngoja tuone
Umeacha kudemka?Huyu atamaliza miaka 4 anateua na kutengua hakuna jipya
Mkuu watu hawajui kuwa madam ni kachili wa Honorable kikwete toka enzi hizo mama mbungeKwani misimamo yake imetofautiana na mwendazake? Mbona alikuwepo enzi hizo, na alikuwa na team hiyo? Basi nakuja kuamini kile kilichokuwa kinasemwa kuhusu the close relationship ya mzee wa Msoga na Madame.
Kivipi?Umeacha kudemka?
Kweli aseeLazima aondoe sukuma gang wote serikalini otherwise watamkwamisha.
Wewe ni mtoto mdogo sana, haya mambo yamekuzidi umri.Unaonekana una hoja muhimu lkn unapayapaya mwisho una haribu. Una ushahidi gani kuwa Mheshimiwa Rais anamtegemea Mzee Kikwete katika maamuzi yake? Una uhakika gani Mheshimiwa hapewi ushauri wa kurosha na wasaidizi wake? Ni mapema sana kuelekeza tuhuma nzito kwa Mheshimiwa Rais. Sisi wengine tunamuamini na tunamuona kuwa yupo kwenye right truck. Kama nawe upo kwenye"... gang ulilolitaja, tulia dozi ikuingie vizuri".
Huyu kazidi aseeMbona hata Magua alikuwa anateua na kutengua full time?
Ccm hata wakisimamisha kisiki cha mti hajuna mpinzani wa kuishinda.2025 wapinzani watamshinda, mark my words.
Si kila siku hapa ulikuwa unademka kwamba mama ndio mwenyewe?Kivipi?