Tanzania inahitaji Rais kama Magufuli ona hapa machache yake

Tanzania inahitaji Rais kama Magufuli ona hapa machache yake

trojan92

Member
Joined
May 18, 2024
Posts
91
Reaction score
276
Hayati Magufuli alikuwa anajiamini sana, ona hapa uthubutu wake
1. Kujenga viwanja vya ndege

2. Barabara zilizonyooka

3. Kupinga waziwazi sera za kibapari kama ushoga nk

4. Kujenga fly over ambazo hadi leo zimepunguza kwa kiasi kikubwa msongamano

5. Hospital za wilaya na mikoa aliziboresha sana tu

6. Nidhamu kazi kwa wafanya kazi ili imarika sana sana

7. Watu kuheshimu nyara za serikali kipindi cha utawala wake.

8. Kujenga bwana la JNHEP hili bwawa kama hakutakuwa na siasa litatusaidia

9. SGR hiyo ishaanza kaziz hongera Sana Mama yetu Rais SS Hassan kwa umaliziaji.

10. Usisahau kosa lake moja moja tu, alituita watanzania masikini na wanyonge. Nchi yetu ikawa nchi ya masikini na wanyonge hii kitu inaniuma na inatengeneza bad mentality
 
Makaburi walifanya makubwa kuliko hayo lakini walipingwa kwa vitendo vyao vya kibaguzi na uuaji.
 
kwa bahati mbaya zaidi,CHADEMA walitaka Rais kama Magufuli ila bahati mbaya zaidi baadae wakamkataa hii ndiyo picha halisi ya binadamu.
 
Back
Top Bottom