Tanzania inajifunza nini kufuatia kifo cha Osama - Google Earth/Map

Tanzania inajifunza nini kufuatia kifo cha Osama - Google Earth/Map

Who was the courier who led US to Osama Bin Laden?

BBC News - Who was the courier who led US to Osama Bin Laden?
Ukisoma hii habari unaona failure ya intelligence service nyingine .

  • Mtu anatumia fake identity.
  • Huyo huyo mtu kwa kutumia fake identity ananunua ardhi eneo nyeti
Tanzania tuko wenye mchakato wa kupata Nationa ID. Pakistan wanayo hii lakini haikuweza kusaidia. Why?????? Tujifunze na wahusika waone haya. sio tu kuw aa nationa ID ambazo haziwezi kusaidia kufanya vrefication na validation itakapohitajika.

Too late wanagundua jina alilonadika na sehemu aliyosema kuzaliwa hakuna mtu kamahuyo wala ukoo huo haujulikani?

Funzo na changamoto kwa Tanzania. Wataepukaje loopholes kama hizi kwenye national Id project.

Ndiyo maana mtu mmoja nikaona kwenye hicho kituo cha komedy hapo Tanzania kinachoitwa eti mjengoni au mjengo tukufu wanasema ID zinasaidia nikawajibu ID ni 0.0001% katika ulinzi wa nchi yetu na uraia na utaifa.

Ila Kwa sababu ya akili ndogo kuongoza akili kubwa humo mjengoni watu wakarukaruka na kulala kwenye viti vya kuzunguka na baade wakazinduka na kupiga makofi.

Ila uhalisia wake ni sawa na bure.
 
Back
Top Bottom