Who was the courier who led US to Osama Bin Laden?
BBC News - Who was the courier who led US to Osama Bin Laden?
Ukisoma hii habari unaona failure ya intelligence service nyingine .
- Mtu anatumia fake identity.
- Huyo huyo mtu kwa kutumia fake identity ananunua ardhi eneo nyeti
Tanzania tuko wenye mchakato wa kupata Nationa ID. Pakistan wanayo hii lakini haikuweza kusaidia. Why?????? Tujifunze na wahusika waone haya. sio tu kuw aa nationa ID ambazo haziwezi kusaidia kufanya vrefication na validation itakapohitajika.
Too late wanagundua jina alilonadika na sehemu aliyosema kuzaliwa hakuna mtu kamahuyo wala ukoo huo haujulikani?
Funzo na changamoto kwa Tanzania. Wataepukaje loopholes kama hizi kwenye national Id project.