Tanzania inakwenda kuwa nchi ya mfano duniani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa kuwa imeonyesha namna taifa linatakiwa kuwa.magufuli ametangaza Vita na mashetani ya dunia lakini Nina imani kwa kuwa Yuko na Mungu maadui zetu watalamba chini.tanzania inakuwa nchi ya Africa kupiga Vita kwa vitendo.sasa mambo yote mabaya yataanikwa wazi.ili watu wajipime.kila siku tunasema Magufuli ni kama shoka lililotua kwenye gogo tayari linakata uchafu wote.mimi kwa Mara ya kwanza naiona Tanzania imisimama kidete kupinga maovu bila kuangalia athari za kiuchumi.this time tutawaona wanafki wote wawe wanatokea taasisi za siasa,au Mashirika ya utetezi,au taasisi za dini au wafanyabiashara.leo anguko lao linatimia rasmi.hata Kama ushoga makonda asipoumaliza ni heri aseme ukweli.ili taifa liwajue maadui zao.kwenye madawa ya kulevya waizi walijitahidi kumchafua kwenye hili hawampati washaogopa.tuone media itakayo pindisha ukweli kwa nguvu ya pesa chafu.
Nakaribisha maswali
 
Ikumbukwe sisi tuko huru kisiasa,na kwenye nyanja zote.kwa hiyo mnaoidharau Tanzania yenu aibu itawafikia .ila Tanzania ishawaka duniani Imeonyesha Nini maana ya Uhuru tulioupata 1961.maana yake tuko huru kujiamulia mambo yetu.hatutaki ushoga ovaa..kelele nyingine hizi ni miyeyusho..
 
Kwa akili yangu ndogo Watanzania huu sio muda wa kutumia akili zetu kushughulika na masuala kama ya haya ya ushoga wakati bado

-Ukitoka Ukonga kwenda Mbezi unatumia masaa mawili.

-Hospitali zetu bado huduma hazipo.

-Kula kwetu kwa kutatiza.

Kama tunataka dunia itutambue na itusifu tutumie hii nguvu kupambana na walau mahitaji muhimu ya binadamu [Mtanzania alale sehemu nzuri, Mtanzania ale vizuri na kwa uhakika, Mtanzania maradhi yasiwe adui kwake na Mtanzania avae vizuri.
 
Ndio ili tufike huko ni lazima maadui Kama ujinga wapigwe Vita kwanza.maana ushoga Kama sio ujinga ni Nini?. pengine taifa limeona likemee haya kwa haraka na mapema ili kizazi kijacho kisiwe mdebedwo kitashindwa hata kuzalisha shughuli za kiuchumi zitadorora.wanaume wa kweli watapotea miaka ijayo.serikali imeona ifanye juhudi zozote ilimalize upesi
 
Wehu tu

No one ever defeated world natural tendency of change.

With reference to Chinua Achebe in the things fall apart, Okonko resembles pombe in trying to defies natural cause of a changing world.

This is only fooling ourselves.
 
Hakuna uhusiano wa ulichokiandika na maendeleo ya watu.

Kwanza kufuatilia faragha za watu ndiyo ujinga.

Na Kama kuna kiongozi wetu anafikiri kama wewe basi hatuna mtu...tushike tama tu.
 
Kadhalika kutekanatekana kipumbavu na kuuana kukomeshwe!
 
Ungekuta ushoga ni ujinga basi haya mataifa ya magharibi yangekuwa nyuma kimaendeleo na kiakili
 
mataifa tajiri yameruhusu ushoga, mataifa masikini yamekataa ushoga..
kweli uchawi upo.
 

Umeandika lugha gani?
 
By the time tunakula na kushiba ,sote si tutakuwa mashoga!!!!wakati ni Sasa....usituvurugie pozi.
 
By the time tunakula na kushiba ,sote si tutakuwa mashoga!!!!wakati ni Sasa....usituvurugie pozi.
Binadamu mvivu akiona magumu yamemshinda anakimbilia madogo yasiyohitaji nguvu ya akili.

Afrika tunasumbuliwa na hili. Kula kwenyewe kunatushinda.
 
Mungu mwenyewe ameacha kulazimisha watu, kumbuka aliua watu woote sodoma na gomora kwa moto leo wapo.

Watenda maovu wooote wakati wa nuhu waliangamizwa kwa maji, jiulize leo wote ni wema jibu ni HAPANA. Hii inatufundisha kuwa hatuwezi maliza hayo mambo kwa kutaja majina , wala kuwapeleka KISUTU PALE KWA HAKIMU MKAZI. Jambo hili linahitaji badiliko la roho na malezi bora, sio huu utumbo na ujinga unaoendelea. Tumeshajitanabahisha kuwa hatukubali ushoga hilo tayari ni jibu kwa mataifa mengine na dunia yote inafahamu.
 
Sasa sisi tunaacha kufanya mambo ya utawala na kufunga mafisadi tunakimbizana na james delicious.,?? Ndio habari ya nchi nzima .
 
Kuna Chama kitatoa tamko rasmi kuunga mkono Ubwabwa
 
Ama kweli wewe kula kulala,hujielewi na hutambui lolote.
Watakupanua mpododo hadi ufe
 
Inakqenda kuwa nchi ya mfano mbaya hapo sawa, and not otherwise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…