ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwa kuwa imeonyesha namna taifa linatakiwa kuwa.magufuli ametangaza Vita na mashetani ya dunia lakini Nina imani kwa kuwa Yuko na Mungu maadui zetu watalamba chini.tanzania inakuwa nchi ya Africa kupiga Vita kwa vitendo.sasa mambo yote mabaya yataanikwa wazi.ili watu wajipime.kila siku tunasema Magufuli ni kama shoka lililotua kwenye gogo tayari linakata uchafu wote.mimi kwa Mara ya kwanza naiona Tanzania imisimama kidete kupinga maovu bila kuangalia athari za kiuchumi.this time tutawaona wanafki wote wawe wanatokea taasisi za siasa,au Mashirika ya utetezi,au taasisi za dini au wafanyabiashara.leo anguko lao linatimia rasmi.hata Kama ushoga makonda asipoumaliza ni heri aseme ukweli.ili taifa liwajue maadui zao.kwenye madawa ya kulevya waizi walijitahidi kumchafua kwenye hili hawampati washaogopa.tuone media itakayo pindisha ukweli kwa nguvu ya pesa chafu.
Nakaribisha maswali
Nakaribisha maswali