Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

Sasa mbona hatuongezi mishahara kwa watumwa wa umma na hatuwalipi wale wakulima wa mtwara
Hawawezi kufanya hivyo kama kweli hizo fedha hazijaainishwa rasmi kwenye kasri za serikali. CAG ataona kuwa matumizi ni makubwa kuliko mapato, na atashindwa kuelewa fedha za ziada zimetoka wapi, na upinzani utasema serikali inachapisha kiholela fedha ili kuongeza fedha za matumizi ya serikali
 
unaona sasa , ndio maana sikukuelewa unatoa tetesi, mara paa evidence mezani ili uilaumu serikali , why long way like that bro? ,
 
Dont let them fool you.
 
Mara umeisha ukubali huo uzushi billa kufanya utafiti zaidi na kujiridhisha?
Je kama hela hiyo wange iweka kwenye account za nje bila kutengeneza hizo miundo mbinu!
 
Too low
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hiki ndo kinachokuumiza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 




 
Ukubali au ukatae wewe ni kilaza kama walivyo vilaza wengine hapo mtaani kwenu

Sasa kama hizo pesa wameshindwa kuzilipia madeni au kuongezea mishahara kw a kumuhofia CAG Kichere halafu wakazitumie kujengea reli na kununulia ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…