Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

Basi sisi Tz ni matajiri kama tunalipwa mapesa mengi lakini mleta uzi hajatueleza kwa mwaka tunalipwa bei gani? Atutajie na kiasi tunacholipwa ndo tuamini zaidi maana mzungu hawezi kukulipa alafu asijue anakulipa bei gani.
 
Mku twambie tunalipwa bei gani kwa mwaka ndo tutakuamini mbona na wewe umeweka siri?
 
Inawezekana gesi ya helium imetumika kama dhamana ya mkopo wa miundo mbinu hii!!ndo mana deni la taifa linapaa!!
Mku naona huyu jama anatufunga kamba kama angekuwa na uhakika kwamba tumeshalipwa chochote angekitaja lakini katuacha gizani basi au angetwambia kwamba tumeshapokea advance ya kiasi gani?
 
You may disagree, but the tra collections don't meet debit and recurrence expenditure, to mention a few. Then where comes the money for the unbudgeted expenditures we are witnessing?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana napenda kuongea na watu wenye kufikiri kama wewe! Mkuu umetoa point kwa maneno machache. Ingefaa uiseme kwa kiswahili kwa faida ya mashabiki fulani kwenye hii thread
 
Mku naona huyu jama anatufunga kamba kama angekuwa na uhakika kwamba tumeshalipwa chochote angekitaja lakini katuacha gizani basi au angetwambia kwamba tumeshapokea advance ya kiasi gani?
Hebu acheni upoyoyo. Mimi nitajuaje kiasi kinacholipwa? Na hamuni kwamba hii ni taarifa nimepewa?

Mnakuwa kama Abunuasi bwana, unaambiwa usikalie tawi unalokata utaanguka, halafu ukianguka unasema basi niambie na siku nitakayokufa maana wewe inaonekana unajua mambo mengi sana!
 
Mku twambie tunalipwa bei gani kwa mwaka ndo tutakuamini mbona na wewe umeweka siri?
Umeishiwa maswali ya kuuliza? Yaani kwa kuwa nimekuambia ukicheza barabarani utagongwa na gari basi sasa unataka nikuambie ukigongwa na gari itakuwa gari ya aina gani? Akili hizo?
 

Kikifika kipindi ambacho watahitaji kuichimba, itakuwa haina tena bei, na wataambiwa haifai kwa mazingira hivyo wasiiguse
 
Dah! Tunalipwa ili isivunwe?adumu Maghufuli!
Rushwa! Mapato hayo kivyovyote vile hayawezi kuzidi yale ambayo yangetokana na biashara ya moja kwa moja.

Hata hivyo nina wasiwasi juu ya malengo ya uzi huu. Nahisi mtoa mada anajaribu kuonesha kuwa fedha zinazogharamia "miradi ya Magufuli" si za "walipa kodi" wa nchi hii bali zinatokana na "ujanja" wa kiongozi wetu bali hazitokani na mikopo kutoka kwa "mabeberu".
 
uzushi uzushi uzushi ... yaani mawazo yako unaamua kuyafanya kuwa habari ... this does not warrant my thinking
 
Kasome taarifa ya ongezeko la deni la Taifa kwa kipindi cha miezi 6 ya mwisho ya mwaka 2019 hafu ndo utuambie hizo pesa za mikopo zimeenda kufanya nn.
 
Kama Marekani atatangaza kutuzuia kuingia Marekani na sie Tumpe Mchina Uwekezaji wa Hii Helium aichimbe kwa mkataba wenye manufaa kwa Taifa, Au watuuzie Mitambo kwa compensation ya Helium, Maana kwa kufanya hivyo tutaweza na sie kuua soko la Hekium la Marekani. Au mnasemaje wadau. Na pesa kama hazipo kwenye rekodi wakitudai tutawapa waliowakopesha walipane nao.
 
Kwasababu ni tetesi acha zibaki tetesi tu.

macson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…