Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hapo unafaidi mpira na uumbaji wa AllahKatika michuano hii, mechi zangu bora hadi sasa ni Morocco Vs Brazil, na Marekani Vs Brazil. Morocco walifugwa 1-0 lakini waliupIga sana. Marekani na Brazil ilikuwa 1-1, lakini ilikuwa kama unaangalia gemu ya wanaume. Niko likizo hivi nazifaidi mechi zote, Supersport 224 na 225. Halafu wale wa Morocco ni Waislamu lakini sikuona hijab Hadi kwa makocha wao. Ila hivi vitoto vya kike vizuri sana aisee, naenjoy sana kuvitazama
Tatizo letu ni kusindwa kukwepa Kadi nyekundu. Kiujumla tunajilipua utadhani Hakuna VAR.Mhhhh hao Canada kwenye soka la wanawake wako vzr sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wallah tena! Yaani ndani ya dakika 90 unakuta unajisemea tu mwenyewe kwa sauti ya chini Mash Allah!!!
Dah vya brazil vizuri sana nadhani ukienda huwezi kurudiKatika michuano hii, mechi zangu bora hadi sasa ni Morocco Vs Brazil, na Marekani Vs Brazil. Morocco walifugwa 1-0 lakini waliupIga sana. Marekani na Brazil ilikuwa 1-1, lakini ilikuwa kama unaangalia gemu ya wanaume. Niko likizo hivi nazifaidi mechi zote, Supersport 224 na 225. Halafu wale wa Morocco ni Waislamu lakini sikuona hijab Hadi kwa makocha wao. Ila hivi vitoto vya kike vizuri sana aisee, naenjoy sana kuvitazama
HahahaahhahaDah vya brazil vizuri sana nadhani ukienda huwezi kurudi